Naomba nieleweke sio kwamba naiombea mabaya taifa stars ila najaribu kueleza dalili za taifa stars zitakazosababisha kutopata matokeo ya kueleweka dhidi ya lesotho.
Kwa uzoefu wangu wa kuifuatilia taifa stars kwa muda sasa...
Taifa stars hupata matokeo pale kunapokuwa na shinikizo kubwa kutoka kwa mashabiki na viongozi wa nchi hadi wa soka
Sasa hili shinikizo huwa linaongeza morali kwa wachezaji na kuwafanya wapambane kufa na kupona kupata matokeo
Mpaka sa iv tunavyoongea taifa stars wako peke yao afrika kusini.
Sio rais wa tff wala mashabiki wapo kwa ajili ya kuwaongezea morali wachezaji ...na sidhani hta km kuna kiongozi mkubwa wa serikali yupo afrika kusini
Nilichotegemea kuona raisi wa tff, waziri mwakyembe na wadau wa soka naxkundi la mashabiki wakiongozana na kikosi afrika kusini kwa ajili ya kuwatengenezea mazingira wachezaji waone hii mechi ni ya kufa na kupona na matokeo ya hii mechi yana maana kubwa sana kwa taifa
Kwa kifupi sioni amsha amsha km tulivyozoea taifa stars ikikaribia kucheza mechi yenye umuhimu mkubwa.
Yaan hta redio hawaizungumzii kiivo timu ya taifa s badala yake zimejikita kuzungumzia uchaguzi wa yanga
Naskia hta sammata anaweza asije na hii kwa namna moja ama nyingine inaweza kuathiri morali ya timu.
Kwa kifupi ni kuwa wachezaji wetu wachezaji wetu wasipoandaliwa mazingira ya na tension ya mchezo huwa wanaloose sana focus
Kwa wale mnaokumbuka mechi ya kwanza dhidi ya lesotho tuliotoka droo chamanzi, kulikuwa na mazingira km haya ya kuelekea ile mechi
By the way tuendelee kuiombea timu yetu ipate matokeo licha ya hizi changamoto.