Kuna kila dalili taifa stars haitopata matokeo mazuri dhidi ya lesotho

Kuna kila dalili taifa stars haitopata matokeo mazuri dhidi ya lesotho

Nyie mnao anzisha nyuzi za namna hii ndo mna shusha morali za wachezaji
 
Naaaam, na hiii ndiyo inaitwa sekenke, yaani tunakwenda cameroon kiulainiii kwa mgongo wa wadogo zetu uganda, poleni sana mnao tuombea mabaya!
Mpira nowdays haupo ivo ...unaweza shangaa uganda wakaja kutukomalia hpa hpa nyumbani
 
Back
Top Bottom