Kuna Kila dalili za upangaji matokeo robo fainali ya Yanga na mamelod second leg

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Poleni sana Wana Yanga, natumai mmejifunza kitu kuhusu michuano hii ya @cafafrica. Bila kupepesa macho, mechi ya round ya pili ilipangwa iwe na matokeo ya upande mmoja. Utaona kwa namna ambavyo maofisa wa VAR walivyomshawishi refa atoe kadi nyekundu kwa Lomalisa, sema aliona aibu. Lakini pia, baada ya Aziz ki kifunga goal, tayari ubao ulisoma mamelod 0-1 Yanga. Bado maofisa wa VAR wakamzuia refa asiruhusu kuwa lile ni goal. Hii inamaana kwamba, maofisa wa VAR walikuwa na matokeo Yao. Tunajua, makosa mengi ya referees huwa hayabadilishwi ila upangaji matokeo huwa ni halamu na ushindi wa timu husika huwa unanyang'anywa ikibainika kama ni kweli. Tunao ushahidi wa timu nyingi tu hapa Africa zilizowahi kunyang'anywa ushindi wake baada ya kubainika kulikuwa na upangaji wa matokeo.
Yes, Yanga ifungue mashtaka ya upangaji matokeo
 
1) Lomalisa yellow card.

Refa uwanjani=Yellow
VAR room=Yawezakuwa Red.

Wametofautiana,inabidi Refa aende kwenye var monitor akajiridhishe KWA vile wametofautiana.

2) 'goli la Aziz'
Refa uwanjani=No goal
VAR ROOM=No goal.

Maamuzi yamelingana hivyo Refa haendi kwenye monitor.

KWA KAWAIDA REFA ATAENDA KWENYE VAR MONITOR PALE AKITOFAUTIANA MAAMUZI Na VAR
 
Hivi matuta nayo waliyapanga?

Aliyepaisha penati naye alipangwa?
Walijijua kuwa kwenye matuta sio wazuri ndio maana wakamaliza biashara mapema kwa kupata goli halali kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…