PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Poleni sana Wana Yanga, natumai mmejifunza kitu kuhusu michuano hii ya @cafafrica. Bila kupepesa macho, mechi ya round ya pili ilipangwa iwe na matokeo ya upande mmoja. Utaona kwa namna ambavyo maofisa wa VAR walivyomshawishi refa atoe kadi nyekundu kwa Lomalisa, sema aliona aibu. Lakini pia, baada ya Aziz ki kifunga goal, tayari ubao ulisoma mamelod 0-1 Yanga. Bado maofisa wa VAR wakamzuia refa asiruhusu kuwa lile ni goal. Hii inamaana kwamba, maofisa wa VAR walikuwa na matokeo Yao. Tunajua, makosa mengi ya referees huwa hayabadilishwi ila upangaji matokeo huwa ni halamu na ushindi wa timu husika huwa unanyang'anywa ikibainika kama ni kweli. Tunao ushahidi wa timu nyingi tu hapa Africa zilizowahi kunyang'anywa ushindi wake baada ya kubainika kulikuwa na upangaji wa matokeo.
Yes, Yanga ifungue mashtaka ya upangaji matokeo
Yes, Yanga ifungue mashtaka ya upangaji matokeo