Wananchi wenzangu hili lilijidhihirisha wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020, lilijidhihirisha wakati wa maandamano ya Kenya (labda Ili Gen Z wa huku wasiige tabia mbaya), wakati wa vuguvugu la msiba wa Kibao.
Wakati wa yale maandamano baadhi ya hotuba na jana nimeona tena hali hiyo ambayo mpaka leo inaendelea, inanilazimu niunganishe na tukio la matatizo ya mtandao jana na tukio lililokuwa linaendelea katika Bunge la Kenya la kumng'oa Naibu Rais wao.
Pia hutokea wakati wa baadhi ya mijadala mbalimbali ya ghafla inayotokea hapa nchini.
Kuna mambo mengine labda mamlaka inafanya Ili kulinda wananchi wasiige yanayofanyika huko kwa kuogopa mabadiliko na pia fujo. Inawezekana pia ni katika hali ya kulinda amani.
Lakini sasa nawaza ikitokea internet ikapunguzwa kasi ama kuzimwa kabisa kipindi cha uchaguzi tutafanya nini Ili jambo hilo lisituathiri sana sisi wananchi?
NB: Hivi Kuna siku Afrika Mashariki uchaguzi utafanyika kidigitali kweli ikiwa mtandao ndo matatizo namna hii?
=======================================================
SOMA PIA: