huduma za intaneti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Responded TCRA Yawapa Mwezi mmoja Watoa Huduma Za Intaneti Kurekebisha Nyaya Holela

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya siku 30, ili kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha miundombinu hiyo inazingatia viwango na...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania TCRA yawapa siku 30 Watoa Huduma za intaneti kurekebisha Nyaya Holela

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya siku 30, ili kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha miundombinu hiyo inazingatia viwango na...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna mtandao mbovu katika huduma za intaneti kama walivyo Airtel

    Na ukongwe wote huu intaneti tunapata ya bra bra . Sio tu routers zao hata simu pia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Axian telecom (kampuni mama ya Yas) yapokea uwekezaji wa dola za Marekani milioni 100 kutoka EIB global kwa ajili ya kuboresha huduma za intaneti

    Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea ACT- WAZALENDO: Mkituchagua tutaweka Wi-Fi ya bure kwenye Ofisi za Serikali za Mitaa

    Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma. Soma...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili zifikapo nyakati za uchaguzi mtandao utapunguzwa kasi ama kuzimwa kabisa. Tufanye nini kukabiliana na hali hiyo?

    Wananchi wenzangu hili lilijidhihirisha wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020, lilijidhihirisha wakati wa maandamano ya Kenya (labda Ili Gen Z wa huku wasiige tabia mbaya), wakati wa vuguvugu la msiba wa Kibao. Wakati wa yale maandamano baadhi ya hotuba na jana nimeona tena hali hiyo ambayo mpaka...
Back
Top Bottom