Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
ni muhimu sana,Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!,
Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile kwani hata michezo ni sehemu ya ajira kwa zama hizi,
Kwa maoni yangu, tufanye siasa huko pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, mf. Katika viwanja vya mwembe yanga, jangwani, Bunju na kadhalika,
Sababu za kimsingi ni kulinda usalama wa maeneo yetu tegemewa ya kibiashara, kulinda wageni wanaokuja kwa misingi ya kibiashara ili wasipate kero za wanasiasa uchwara,
Nikimaanisha hata misafara ya kisiasa isiruhusiwe kusogelea eneo la kibiashara kariakoo, wafanye maandamano yao umbali wa mita 500 kutoka kariakoo ilipo ili kulinda soko ili adhimu la kimataifa,
WASALAAM.
CCM wamefanya mikutano hapo majuzi, hapohapo Kariako.Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!,
Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile kwani hata michezo ni sehemu ya ajira kwa zama hizi,
Kwa maoni yangu, tufanye siasa huko pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, mf. Katika viwanja vya mwembe yanga, jangwani, Bunju na kadhalika,
Sababu za kimsingi ni kulinda usalama wa maeneo yetu tegemewa ya kibiashara, kulinda wageni wanaokuja kwa misingi ya kibiashara ili wasipate kero za wanasiasa uchwara,
Nikimaanisha hata misafara ya kisiasa isiruhusiwe kusogelea eneo la kibiashara kariakoo, wafanye maandamano yao umbali wa mita 500 kutoka kariakoo ilipo ili kulinda soko ili adhimu la kimataifa,
WASALAAM.
Namaanisha, ufanyaji siasa usitishwe kwa vyama vyote ndani ya soko la kariakooCCM wamefanya mikutano hapo majuzi, hapohapo Kariako.
Vipi unasemaje??
Hata vyuoni baada ya ccm kuona inazidiwa wakapiga marufuku kufanya siasa vyuoni. Lakini sasa hivi ccm wanafanya siasa wazi wazi vyuoni!Namaanisha, ufanyaji siasa usitishwe kwa vyama vyote ndani ya soko la kariakoo
Kwamba wafuasi wa Lissu akili zenu sawa na za ng'ombe tu. Period.Ulikuwa unataka kusemaje ?
Ila walipofanya ccm hakujua hilo umejua baada ya chadema kutakakufanya mkutano. Siku zote uhalali unakuja kwenu ukifanywa na upinzani unakua haramu.Namaanisha, ufanyaji siasa usitishwe kwa vyama vyote ndani ya soko la kariakoo
No Reforms No Election 🔥! Vilaza wa Mama shida tupu!ni muhimu sana,
vibaka na magenge ya waporaji na matapeli wanaojikusanya na kuiingia sokoni hususani kariakoo kwa kujificha kwenye mgongo wa siasa, wasiruhusiwe kabisa wala wasipewe fursa ya kupora wafanyabiashara na kusumbua shughuli za kiuchumi katika eneo hilo la kimkakati,
OCD wa msimbazi apewe onyo kali sana kwa kuchelewa kuact na kuwachewesha vibaka hao hadi kuleta taharuki sokoni kwa wafanyibiashara na wateja
Wee kilaza wa Samia CCM hukuwaona walipofanya mkutano hapo!Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!,
Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile kwani hata michezo ni sehemu ya ajira kwa zama hizi,
Kwa maoni yangu, tufanye siasa huko pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, mf. Katika viwanja vya mwembe yanga, jangwani, Bunju na kadhalika,
Sababu za kimsingi ni kulinda usalama wa maeneo yetu tegemewa ya kibiashara, kulinda wageni wanaokuja kwa misingi ya kibiashara ili wasipate kero za wanasiasa uchwara,
Nikimaanisha hata misafara ya kisiasa isiruhusiwe kusogelea eneo la kibiashara kariakoo, wafanye maandamano yao umbali wa mita 500 kutoka kariakoo ilipo ili kulinda soko ili adhimu la kimataifa,
WASALAAM.
calm down gentleman,No Reforms No Election 🔥! Vilaza wa Mama shida tupu!
Labda kama huna akili, Hiyo Kariakoo unayoisema ina wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani na Wabunge, unadhani walifanyaje kampeni?Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!,
Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile kwani hata michezo ni sehemu ya ajira kwa zama hizi,
Kwa maoni yangu, tufanye siasa huko pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, mf. Katika viwanja vya mwembe yanga, jangwani, Bunju na kadhalika,
Sababu za kimsingi ni kulinda usalama wa maeneo yetu tegemewa ya kibiashara, kulinda wageni wanaokuja kwa misingi ya kibiashara ili wasipate kero za wanasiasa uchwara,
Nikimaanisha hata misafara ya kisiasa isiruhusiwe kusogelea eneo la kibiashara kariakoo, wafanye maandamano yao umbali wa mita 500 kutoka kariakoo ilipo ili kulinda soko ili adhimu la kimataifa,
WASALAAM.
New formulary zinakuja, kibaka wenu ameshaachiwa kesho nendeni naye mwembe yanga, baada ya kupata vibali husikaLabda kama huna akili, Hiyo Kariakoo unayoisema ina wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani na Wabunge, unadhani walifanyaje kampeni?
Wewe utakuwa ni wale from ile timu ya kuupiga mwingi au timu wanyongeWamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!,
Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile kwani hata michezo ni sehemu ya ajira kwa zama hizi,
Kwa maoni yangu, tufanye siasa huko pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, mf. Katika viwanja vya mwembe yanga, jangwani, Bunju na kadhalika,
Sababu za kimsingi ni kulinda usalama wa maeneo yetu tegemewa ya kibiashara, kulinda wageni wanaokuja kwa misingi ya kibiashara ili wasipate kero za wanasiasa uchwara,
Nikimaanisha hata misafara ya kisiasa isiruhusiwe kusogelea eneo la kibiashara kariakoo, wafanye maandamano yao umbali wa mita 500 kutoka kariakoo ilipo ili kulinda soko ili adhimu la kimataifa,
WASALAAM.
Hahahahah kumbe na wewe ni Sukuma gang, mwaka huu akili zitawakaa maana huko upande wenu mnapigwa na S100 na upande mwingine ndiyo hivyo tena No Reforms no Election. Sukuma gang sijui kwa sasa mko upande ganizipo kumbi za kisasa za mikutano Mlimani City, JNICC, The Super Dome, unaenda kubugudhi biashara za watu, hayo mambo yenu ya siasa yanatuhusu nini? hawa jamaa wakija akiriakoo wanunue chupi za jumla waende sio kuharibu mifumo ya uchumi
80% ya uchumi wa nchi uko dar, tusiruhusu mambo yakishenzi, zitengwe kumbi maalumu kwa shughuli za kisiasa au social events, huu mji unamfaa makonda hawa jamaa wasingetia mguu,
Mimi ni team #Amani!.Wewe utakuwa ni wale from ile timu ya kuupiga mwingi au timu wanyonge
Hata yule mnyonge wako alikuwa anajiita msema kweli ni mpenzi wa Mungu na huyo mwingine hataki kabisa kusikia neno haki ila anapenda neno amani tu. Sasa huoni kuwa na wewe bado huko humo humo.Mimi ni team #Amani!.