Kuna kila sababu ya kuilinda Kariakoo dhidi ya shughuli zozote za kisiasa!

Chadema wameamua kuchagua siasa za kishamba sana , kila mara kulumbana na mamlaka ili ionekane wanaonewa.

Muda wa kuzalisha wewe unapeleka kelele zako ukiambiwa ondoka unaanza kulilia jumuiya za kimataifa.

Wanakiita chama kikubwa ila viongozi wake wana reasoning ndogo sana.
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…