The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Kyala nnunu.Hiyo ni bawasiri, niliwahi kuugua ila namshukuru MUNGU ilipona baada ya kubadilisha mtindo wa maisha
- Kula chakula kilaini (hasahasa ugali usile liugali ligumu kama jiwe)
- Kunywa maji mengi
- Epuka kuinua vitu vizito (mfano: mizigo,
- kula mbogamboga kwa wingi (kama una uwezo kama huna pia sio issue)
Tiba ( sio 100% sure)
- Kata tawi la aloe vera paka ule utomvu wake hapo asubuhi na jioni)
- ukienda haja kubwa usimalize madakika huko 😃, kata gogo ukimaliza shenena chap afu usepe
Kyala akutule nkamu, kilabhu....
Yeah ni kweli Inawesa kuwa Ni Bawasiri (Hemorrhoids)..
bawasiri ni kiarabu. haemorrhoid ni kiingereza. kiswahili mgolo1. Hiyo kitaalamu waita "haemorrhoid" achana hadithi za "bawasili" na uswahili uswahili wake na tiba zake za kinyungu nyungu.
2. Nenda hospitali ukatibiwe kibeberu.
3. Kasikilize ushauri wa daktari hata kama ni ka minor surgery.
bawasiri ni kiarabu. haemorrhoid ni kiingereza. kiswahili mgolo
usiwe mjinga.
mimi mhanga wa huo ugonjwa nikapona kwa dawa za kienyeji sanjari na kubadili mfumo wa maisha. surgery is the last option physician atakushauri. ni hatari
daktari wa kispaniola aliniambia yeye alimfanyia mtu mara 6 na ikaendelea kujirudia licha ya uzoefu wake alinieleza nisikurupuke. surgery sio nzuri.
mimi na nani wewe? mimi siishi huko ukimani kwenu bwana we1. Uswahili uswahili huo ndio unaowapeleka hadi ku install mashine za kupigia nyungu Muhimbili.
2. Unadhani hadi nimekwenda kuandika yote hayo Kwa mawazo yako hizo tafsiri sizijui?
3. Mmechelewesha wangapi na magonjwa ambayo yangeweza kutibika kwenye Imani zenu potofu za kushirikiana, kienyeji, kidini, kiswahili Swahili nk huku mkiwatapeli pesa zao?
4. Fika Muhimbili na ocean road au mahospitalini kuona wagonjwa mlioendelea kuwatibu kienyeji hadi saratani, figo nk kupindukia kusikotibika ndipo mkaingia mitini?
5. Bila kuwatolea makavu nyie ujuaji hata katika msiyoyoyajua si ndiyo silika zenu?
Bure kabisa!
mimi na nani wewe? mimi siishi huko ukimani kwenu bwana we
Pole sana ni bawasiri nitafute wassap 0779427472 kinaenda kuisha kabisa inshallahHabarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo kwenye mfumo wa umeng'enyaji chakula, chakula hakimeng'enywi inavyotakiwa, nikapewa dawa tatizo hilo likaisha.
Lakini sasa kuna siku najisaidia nikapata choo kigumu sana nikachanika sehemu ya haja kubwa halafu kuna linyama likaning'inia chini, nikaanza kuuguza kidonda pale nilipochanika, kidonda kikapona lakini lile linyama bado lipo.
Nilienda hospital nikapewa anisol niwe napaka, nimepaka tube 2 bado hakijatoka, nikaanza kupaka mafuta ya mnyonyo bdo hiyo nyama ipo tu, nikaanza mafuta ya mzaituni bdo hiyo nyama ipo tu. Je nifanyaje?
Naombeni msaada wenu, na kuna kipindi nikiigusa hiyo nyama nahisi maumivu. Ahsanteni
Bawasiri hiyo naitibu fasta sanaaa nichrki na elfu 50 usipopona nakurudishia dawa yako 0712505049Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo kwenye mfumo wa umeng'enyaji chakula, chakula hakimeng'enywi inavyotakiwa, nikapewa dawa tatizo hilo likaisha.
Lakini sasa kuna siku najisaidia nikapata choo kigumu sana nikachanika sehemu ya haja kubwa halafu kuna linyama likaning'inia chini, nikaanza kuuguza kidonda pale nilipochanika, kidonda kikapona lakini lile linyama bado lipo.
Nilienda hospital nikapewa anisol niwe napaka, nimepaka tube 2 bado hakijatoka, nikaanza kupaka mafuta ya mnyonyo bdo hiyo nyama ipo tu, nikaanza mafuta ya mzaituni bdo hiyo nyama ipo tu. Je nifanyaje?
Naombeni msaada wenu, na kuna kipindi nikiigusa hiyo nyama nahisi maumivu. Ahsanteni
Asipopona unamrudishia dawa yake!!?Bawasiri hiyo naitibu fasta sanaaa nichrki na elfu 50 usipopona nakurudishia dawa yako 0712505049