Kuna Kipele kimenitokea sehemu ya siri, mwenye kujua dawa anisaidie

Hiyo ni G-spot imeamua kutoka nje
usiue kiumbe cha Mungu bure.
 
Kiache kwani Nani anakiona? Kwani kipo usoni?
Siyo kikubwa na hakipo usoni ila Dr aliniambia huwa kinasamvaa haraja sana kwa mjamzito ndio hifu yangu kingebaki kama kilivyo bila kusambaa nisingekuwa na hofu
 
Hicho kitatoka tu maana hiyo sehemu ina joto sana na ukiongeza na dawa ndio kitatoka faster.
Napaka kitinguu swaumu kinauma hatari wapi mzizimkavu nimuulize kuhusiana na zile pencil za kukichoma maana watu wananishauri hivyo
 
Siyo kikubwa na hakipo usoni ila Dr aliniambia huwa kinasamvaa haraja sana kwa mjamzito ndio hifu yangu kingebaki kama kilivyo bila kusambaa nisingekuwa na hofu
Mwambie mumeo awe anakipaka asali kila Siku kitaisha Tu!! Kwa hiyo sasa hivi brother hali mzigo?[emoji1]
 
Hahaaa mm naumwa ww unatania yupo nje kikazi still bado njia yake ipo haijazibwa. Ni pembeni sana
Hahahahaha amefurahi umemjibu sasa, ushauri mzuri tumia uzi tu pafunge pakaze kwenye shina kweli huwa vinadondoka mtafute mtu akufunge.....
 
Kitibu hara kabla hakijaguswa na dushelele, kikiguswa tuuu na dushelele umekwisha!
 
0758 393 393
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] g~spot tena
Mi amenichanganya aliposema alikuwa tayari
kuitoa hiyo mimba ili apone hicho kiupele,basi nikaona
anatutania nami nikampa utani ili tucheke wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…