Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kikubwa na hakipo usoni ila Dr aliniambia huwa kinasamvaa haraja sana kwa mjamzito ndio hifu yangu kingebaki kama kilivyo bila kusambaa nisingekuwa na hofuKiache kwani Nani anakiona? Kwani kipo usoni?
Hahaaaa hapana siyo hii ni wartHiyo ni G-spot imeamua kutoka nje
usiue kiumbe cha Mungu bure.
Napaka kitinguu swaumu kinauma hatari wapi mzizimkavu nimuulize kuhusiana na zile pencil za kukichoma maana watu wananishauri hivyoHicho kitatoka tu maana hiyo sehemu ina joto sana na ukiongeza na dawa ndio kitatoka faster.
Mwambie mumeo awe anakipaka asali kila Siku kitaisha Tu!! Kwa hiyo sasa hivi brother hali mzigo?[emoji1]Siyo kikubwa na hakipo usoni ila Dr aliniambia huwa kinasamvaa haraja sana kwa mjamzito ndio hifu yangu kingebaki kama kilivyo bila kusambaa nisingekuwa na hofu
Hahaaa mm naumwa ww unatania yupo nje kikazi still bado njia yake ipo haijazibwa. Ni pembeni sanaMwambie mumeo awe anakipaka asali kila Siku kitaisha Tu!! Kwa hiyo sasa hivi brother hali mzigo?[emoji1]
Hahahahaha amefurahi umemjibu sasa, ushauri mzuri tumia uzi tu pafunge pakaze kwenye shina kweli huwa vinadondoka mtafute mtu akufunge.....Hahaaa mm naumwa ww unatania yupo nje kikazi still bado njia yake ipo haijazibwa. Ni pembeni sana
Mmmhpicha please tukione
Hii cm kuapload Picha ni tatizopicha please tukione
Hii cm kuapload Picha ni tatizo
Mbona aliangalia ndio akanishauri hivyoinaonekana hata ulivyoenda hosptal umeshindwa kumuonyesha doctor tatzo lako ndio maana ameshindwa kujua ukubwa wa tatzo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] g~spot tenaHiyo ni G-spot imeamua kutoka nje
usiue kiumbe cha Mungu bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] g~spot tena[/QUOT hahahaaaa watu wengine ni wehu
0758 393 393Habari za Siku nyingi ndugu zangu nina shida naombeni msaada wenu sana Mama ni mama kijacho wa wiki 23 kuna kakipele kalinitokea sehemu za siri kwa nje kwenye mashavu karibia na mstari unaotenganisha kwa bibi na paja.
Nilienda pharmacy wakanipa clotrimazole cream nikapaka baadae nikaona kama kinaongezeka ukubwa nikaenda hospital Dr kaniambia ni visundo/wartts na akadai kwamba hakitibiki hadi nijifungue ndio wakichome
Sasa nawaza kama kinasambaa nikisubiri hadi nijifungue si kitakuwa kimesambaa sana je kutakuwa na uwezekana wakuzaa kawaida au hadi operation yaani nimekosa amani hadi pressure imeshuka naweza zaa hata njiti.
Naamini huyu ni dr kasema na akili zake zimeishia hapo naomba kama kuna mtu mwenye dawa yyte inayoweza kunisaidia bila madhara anipe.
Nikidogo sana hakina hata mwezi tangu kimeota. Asanteni sana natanguliza shukrani nasubiri majibu kutoka kwenu au kwa waliowahi kupitia hili wanisaidie walifanyaje!!!!!!!
Kumbukeni kuwa mimi ni mjamzito miezi saba kasoro
Mi amenichanganya aliposema alikuwa tayari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] g~spot tena
Hii mamba ya ni ya nn kama unafaham dawa njoo pm tuongee0758 393 393 km utahitaji