Namba ya nn kama una dawa njoo pm tuongeee0758 393 393 km utahitaji
usiharakishe kukiondoa, zaa kwanza ndo ukishulikie.Hapa kilipo ni ngumu kukifunga mpendwa
Sijajua ukuaji wake mezi mitatu ijayo itakuwajeusiharakishe kukiondoa, zaa kwanza ndo ukishulikie.
naona una wasi wasi sana dada, inawezekana ni ka kipele tu but unawaza mengine. maadamu kiko pembeni sioni tatizo sana.Sijajua ukuaji wake mezi mitatu ijayo itakuwaje
Wasiwasi upo ndugu wengi wanasema walitokewa navyo baada kujifungua very katoweka vyenyewe eti ñi changamoto tuu za mimba ila mmh kiaipoendelea kukua cna hata wasiwasi nachonaona una wasi wasi sana dada, inawezekana ni ka kipele tu but unawaza mengine. maadamu kiko pembeni sioni tatizo sana.
Nimeenda kwa gyno tayari labda nitres hospital nyingine kama mbilinnione Dr ataniambia nnNenda hospital....!
Kama Dokta Amesema Basi Jua Mkeo ana Vaginal Warts na Wewe Kama Ulisex naye vikitokea basi Fanya HiviHabari za Siku nyingi ndugu zangu nina shida naombeni msaada wenu sana Mama ni mama kijacho wa wiki 23 kuna kakipele kalinitokea sehemu za siri kwa nje kwenye mashavu karibia na mstari unaotenganisha kwa bibi na paja.
Nilienda pharmacy wakanipa clotrimazole cream nikapaka baadae nikaona kama kinaongezeka ukubwa nikaenda hospital Dr kaniambia ni visundo/wartts na akadai kwamba hakitibiki hadi nijifungue ndio wakichome
Sasa nawaza kama kinasambaa nikisubiri hadi nijifungue si kitakuwa kimesambaa sana je kutakuwa na uwezekana wakuzaa kawaida au hadi operation yaani nimekosa amani hadi pressure imeshuka naweza zaa hata njiti.
Naamini huyu ni dr kasema na akili zake zimeishia hapo naomba kama kuna mtu mwenye dawa yyte inayoweza kunisaidia bila madhara anipe.
Nikidogo sana hakina hata mwezi tangu kimeota. Asanteni sana natanguliza shukrani nasubiri majibu kutoka kwenu au kwa waliowahi kupitia hili wanisaidie walifanyaje!!!!!!!
Kumbukeni kuwa mimi ni mjamzito miezi saba kasoro
Mmmh SAA Mbili ucku???? Siko dar kwa sasa na kwann ucku!!!!!Mimi ni daktari mzuri sana wa huo ugonjwa na nimesaidia wengi kama una nafasi nifuate kwangu tabata kimanga kesho saa 2 usiku kwa ajili ya matibabu.Asante