Kuna Kipele kimenitokea sehemu ya siri, mwenye kujua dawa anisaidie

Kuna Kipele kimenitokea sehemu ya siri, mwenye kujua dawa anisaidie

Ucjalo mpendwa huo ni mchafuko tyuu wa dam 2mia ampiclox caps utapona kabisa
 
[UOTE="Nikhil, post: 16203841, member: 136712"]Ucjalo mpendwa huo ni mchafuko tyuu wa dam 2mia ampiclox caps utapona kabisa[/QUOTE]
Ampiclos zinaruhusiwa kwa mjamzito nijuze
 
Sijajua ukuaji wake mezi mitatu ijayo itakuwaje
naona una wasi wasi sana dada, inawezekana ni ka kipele tu but unawaza mengine. maadamu kiko pembeni sioni tatizo sana.
 
naona una wasi wasi sana dada, inawezekana ni ka kipele tu but unawaza mengine. maadamu kiko pembeni sioni tatizo sana.
Wasiwasi upo ndugu wengi wanasema walitokewa navyo baada kujifungua very katoweka vyenyewe eti ñi changamoto tuu za mimba ila mmh kiaipoendelea kukua cna hata wasiwasi nacho
 
Habari za Siku nyingi ndugu zangu nina shida naombeni msaada wenu sana Mama ni mama kijacho wa wiki 23 kuna kakipele kalinitokea sehemu za siri kwa nje kwenye mashavu karibia na mstari unaotenganisha kwa bibi na paja.

Nilienda pharmacy wakanipa clotrimazole cream nikapaka baadae nikaona kama kinaongezeka ukubwa nikaenda hospital Dr kaniambia ni visundo/wartts na akadai kwamba hakitibiki hadi nijifungue ndio wakichome

Sasa nawaza kama kinasambaa nikisubiri hadi nijifungue si kitakuwa kimesambaa sana je kutakuwa na uwezekana wakuzaa kawaida au hadi operation yaani nimekosa amani hadi pressure imeshuka naweza zaa hata njiti.

Naamini huyu ni dr kasema na akili zake zimeishia hapo naomba kama kuna mtu mwenye dawa yyte inayoweza kunisaidia bila madhara anipe.

Nikidogo sana hakina hata mwezi tangu kimeota. Asanteni sana natanguliza shukrani nasubiri majibu kutoka kwenu au kwa waliowahi kupitia hili wanisaidie walifanyaje!!!!!!!

Kumbukeni kuwa mimi ni mjamzito miezi saba kasoro
Kama Dokta Amesema Basi Jua Mkeo ana Vaginal Warts na Wewe Kama Ulisex naye vikitokea basi Fanya Hivi

Tafuta Dawa ya Kupaka Ila Apake Kidogo sana...(podosal)sehemu husika tu na achanganye na Mafuta ya Kujipaka Ya Mgando.. Yaani achukue Podosal+mafuta ya mgando ndo apake sehemu husika tu....Maana Kama Kikisambaa huwa Vinaingia Ndani ya Uke na Kuwa Vingi zaidi na Apake Mara Moja kwa Siku... Chukua Cotton stick(zile za masikioni) ndo uwe unampakia Mahali husika tu ukipaka Pemben Inamuunguza na Atapata Vidonda

Ingawa kama ni Mjamzito vinaweza Kumsumbua Maana Immunity ipo Chini kidogo na hizi Warts(vaginal warts) vinaisha kama Immunity ni kubwa... Na wewe usijaribu kusex naye maana utavipata pia
 
Pole sana enda mka pimwa na mpenzi wako ndo ujuwe chanzo cha kidonda hicho ni nini God bless you
 
Mimi ni daktari mzuri sana wa huo ugonjwa na nimesaidia wengi kama una nafasi nifuate kwangu tabata kimanga kesho saa 2 usiku kwa ajili ya matibabu.Asante
 
Mimi ni daktari mzuri sana wa huo ugonjwa na nimesaidia wengi kama una nafasi nifuate kwangu tabata kimanga kesho saa 2 usiku kwa ajili ya matibabu.Asante
Mmmh SAA Mbili ucku???? Siko dar kwa sasa na kwann ucku!!!!!
 
Back
Top Bottom