Kuna kipi kinaendelea kwenye kituo cha redio cha Samia huko Zanzibar?!

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Kama hamfahamu, Rais Samia ana miliki kituo cha redio huko Visiwani na kwa tetesi zilizopo yapo maendelezo ya ghafla isivyo tarajiwa kwayo.

Inasemekana lakini, eti, kuna baadhi ya material yanatoka bara isivyo ndani ya utaratibu na kupelekwa kule.

Yawayo, yamo!

Mliopo karibu na kituo hicho tuelezeni ni kipi kinaendelea hapo? Malighafi kutoka bara zisizoruhusiwa kuvuka ya nini zivushwe na kupelekwa hapo ( kama ni kweli?)
 
Kwanini hakuwapa Dp world hiki kituo?
 
Akaimiliki Zanzibar atakavyo

TANGANYIKA yetu asiuze kwa waarabu
 
Senior umeamua kumvalia njuga Mrs President.
 
Back
Top Bottom