Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kwanini hakuwapa Dp world hiki kituo?Kama hamfahamu, Rais Samia ana miliki kituo cha redio huko Visiwani na kwa tetesi zilizopo yapo maendelezo ya ghafla isivyo tarajiwa kwayo.
Inasemekana lakini, eti, kuna baadhi ya material yanatoka bara isivyo ndani ya utaratibu na kupelekwa kule.
Yawayo, yamo!
Mliopo karibu na kituo hicho tuelezeni ni kipi kinaendelea hapo? Malighafi kutoka bara zisizoruhusiwa kuvuka ya nini zivushwe na kupelekwa hapo ( kama ni kweli?)
Jiongeze!Unajua maana ya fact na opinion??