ROBINSON NAZARETH
Member
- Oct 14, 2015
- 6
- 0
🔏Kuna kitu ambacho huwa ninajiuliza kila mara, hivi mimi sura yangu ni ipi?
Huwezi ukakubali kwa haraka hadi utakapojifanyia uchunguzi ndipo utakapogundua hauna sura moja.
Unapokuwa unaongea na mpenzi wako unakuwa na sura gani?
Unapokuwa unaongea na wazazi wako unakuwa na sura gani?
Unapokuwa umefurahi unakuwa na sura gani?
Unapokuwa umekasirika unakuwa nasura gani?
Unapoongea na bosi wako Je?
Unapoandika email au kuchangia maoni je?
Haya ni maswali ambayo huwa ninajiuliza mara kwa mara.
Je, sura yangu ni ipi na nifanye nini ili niijue sura yangu halisi?