Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Waliofukuzwa chadema kwa kuhoji matumizi yasiyoeleweka ya tOne tOne kinafichwa nini?!!!
 
Ujinga ni nini?
Ujinga ni kuamini mwanasiasa ama chama fulani cha siasa ndicho kimebeba mamlaka ya kukukomboa na kukukwamua hapo ulipokwama kuelekea mafanikio ya kweli.
Kumbuka Politicians are power mongers, na kila mwanasiasa anapambana kutimiza ndoto zake na sio matarajio yako.
Your salvation is your responsibility and under no circumstance somebody else will do on your behalf. Take action
 
Kuna mkubwa mmoja kwa tamaa zake na kutimiza ndoto zake za yeye na mwanawe kuwa watawala na kuendelea kudhibiti nchi hii, yeye ndeye tatizo kuu. Yupo tayari kuuwa au kukosana na yoyote, mtu huyu alimgeuka rafiki yake ambaye alimsaidia kupata madaraka, amsaliti ndugu yake akafa, kapoteza wengi ili kumlinda mwanae apite salama.
 
CCM inatumia nguvu kubwa kuliko akiri ,ndyo hata ndani ya CCM hawana watu wadhoefu kisiasa,siasa inahitaji mtu mkomavu na anaweza Kuhimili mikiki ,CCM hakuna.zaidi wanategemea majeshi kuwalinda,ndyoo maana hawaoni aibu kuuuw Ili kujimilikisha isivyo halali.

Ukombozi wa nchi ni mambo 2.
Mapinduzi ya kijeshi au mstuni
 

Lakini kwa ninachojua na Mungu alivyofundi ipo siku atakufa tuuu
 


Ni kweli wapo tracked.
 
Njia pekee ya kuimaliza CCM ni kutumia mfumo wa Los Pepes!! Unakata kuanzia chini kuja juu,

1. Huko polisi kwanini CHASO inashindwa kujaza wana chadema kwenye recruitment za majeshi?

2. Chadema inashindwa kuanzisha timu ya mpira kuikata nguvu simba na Yanga ambazo ziko wazi kuwa ni CCM? Embu fikiria CEO wa Simba alikua chadema damu ila ilibidi achukue kadi ya CCM ndio apewe hiko cheo? Means simba na yanga ni matawi ya CCM.

3. Chadema ina mawakili kibao tu na inakubalika na TLS je imewezaje ku indoctrinate mawakili na majaji wengi kwa sera za chadema ili waje kushika nafasi za juu za maamuzi mahakamani??

Mifano ni mingi ila inatakiwa nguvu itumike kuikata CCM kuanzia kwenye matawi yake iwe ni media, dini, michezo, wadhamini, mahakama, polisi, Jeshi, TISS, huko tukiweza mbona wanaondoka asubuhi tu.

Sasa hii inahitaji mikakati ya long-shot sio basically mikutano bali board-room negotiations, lobbying, sleeper cells, indoctrination, cult-following, geopolitics n.k

Cc Proved
 
Hata Vatican kwa Papa wana kitu wanakilinda kama ilivyo Tanzania. Na kwa dunia nzima Kuna kitu wanalinda kwa machozi, jasho na damu. CCM haifanyi tofauti.
 
Maslahi period
 
Kumbe una ID mbili?
Ccm wanajua nguvu ya pesa na wanatumia haswa kwa wapinzani... Sema shida nyenzo ccm wanazozitegemea(jeshi,polisi) siku vikiwageuka ,anguko lako litakuwa la kishindo kizito sana japo wenyewe wanaamini haiwezi tokea mpaka Dunia iishe😎🤣
 
Hyo take action ndio ccm aondoke madarakani si vinginevyo
 
Mkuu umesema ukweli mtupu CCM iko mbele sanaaaa ya muda huu ndo ukweli... hili la research nakuunga mkono na kuna mabadiliko makubwa ndani ya chama yanakuja ikiwemo ya kimuundo.

Ukweli ni kwamba hawa jamaa kwa nje ni kama wajinga ila wako smart sana linapokuaja swala la kulinda dola.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na CHADEMA ila wengi hawajui yanayooneka nje sio yanayofanyika ndani.
 
Gentlemen hicho kingedere hata wewe waweza kitumia usikariri maisha
 
Kinacholindwa ni hiki hapa!
1. CCM ikiangushwa ,serikali imeangushwa.
2. Serikali ikiangushwa,CCM imeangushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…