Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Umepotea...

Hii njia haitatupatia ushindi bali itaufanya mgogoro na vita hii kudumu miaka mingi bila mshindi kupatikana..

Case study: Ni mgogoro wa vita ya wao kwa wao DR Congo; Israel vs Hezbollah wa Palestina au Ukraine vs Urusi. Wananyukana kila siku na miaka yote bila mshindi wala mwafaka kupatikana..!

Moto hauzimwi kwa kuwasha moto juu yake bali huzimwa kwa kuu - neutralize na carbon dioxide gas...

CHADEMA wako kwenye right track, yaani kutotumia violence means kukabaliana..

Uovu hushindwa na HAKI...

Giza hushindwa na Nuru...

CHADEMA wanatumia njia sahihi kabisa kupambana na hayawani hawa, na njia hiyo ni kukataa kushiriki ktk njia zao za uovu (kukubali hongo na rushwa) ili kujaribu kujenga wanayoyaita mahusiano mema a.k.a mapendano a.k.a maridhiano huku ukweli ukiwa ni kuwafanya washiriki ktk uovu wao na baadae waanze kusema;

"mbona tuliwapa hiki au kile wakakubaliana na sisi? Wasiwadanganye hao kwa kuwa hata wao si wasafi, ni wachafu tu kama sisi..."​

Only one thing is missing in their strategy. Hawamshirikishi Mungu Yehova ipasavyo. Na hiki ndicho hasa alichokisema mleta hoja hii, kuwa hajaijenga madhabahu ya Mungu Yehova mwenye nguvu kuliko miungu mingine yote...

Kama wakinitaka Mimi niwashauri, ushauri wangu utakuwa rahisi sana, kuwa WAMFUATE ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA na WAXINGATIE YOTE ATAKAYOWAELEKEZA KUFANYA...

Askofu Josephat Gwajima for your information, naye ni adui mkuu wa CCM na serikali yao haramu. Wametafuta kila njia ikiwemo kutumia wachawi wao, majini yao, waganga wao and all other diabolic means Ili wamnase na kumwangamiza, lakini wameshindwa kwa kuwa madhabahu ya Askofu Josephat Gwajima ni ya Mungu Yehova wa kweli ktk Yesu Kristo and is more stronger than their witchcraft altars...

Ni hivyo, and the game is over...
Naomba kujitenga kuihusisha CHADEMA na Dini.
 
Unajua kufuatilia siasa sio kujua yalipo nje tu na wengi wanaishia yanayojadiliwa nje bila kujua yanayoendelea ndani.... ndo mana kuna watu ukijadili ishu ya viongozi wa vyama vya upinzani kwa uhalisia wake wanakuona muongo.
sawa sawa, mie huwa nakaa kimya , mfn hili nilitaka kuona je humu watu wanajua kuwa jamaa toka mei wako field kimya kimya kwenye angle zote kufanya tathimini, nilipoona umejibu ,nikajua wewe mkali unajua yanayoendelea
 
Naona umeanza kudanganya watu. Kwa hivyo kile walichofanya CCM kwenye uchaguzi uliokwisha ndio walifundishwa na Russia?. Mchina Hana cha kufundisha maana yeye ni mfumo wa Chama kimoja. Ndio maana nasema unatudanganya. Kwa hivyo utekaji, kukipigisha kura na kubambikiza kesi ndio walifundishwa na Urusi. Basi walitupa pesa zao.

Lissu alishauri tuhairishe uchaguzi mkuu wa 2025 ili tuweke mambo vizuri, ila CCM yenye consultants wa kichina na Urusi ikagoma. Ila majanga yakatokea Sasa hivi wamekalia kuanzisha tume za mchongo ambazo hazina kichwa wala miguu.
Intel ya mchina na mrusi ndio inayotegemewa ku run mambo yao kwa asilimia kubwa
 
Kuna Siri CCM inaficha watanzania na ambayo itakuja kutuumiza au kuumiza vizazi vijavyo. Kuna kitu CCM inakilinda kwa jasho na damu, ni kitu Gani hiki?. Kwa fikra zangu za kawaida sidhani kama ni madaraka. Kuna kitu Zaidi ya hapo.

CCM wapo tayari kummiminia risasi raia Tena kwenye maeneo ya serikali ya CCM. CCM wapo tayari Kumfukuza Makamu wa Rais kisa tu kahoji kuhusu Katiba mpya. CCM wapo tayari kuua Raia wa Tanzania kisa wanataka mageuzi ya mfumo wa uchaguzi. CCM wapo tayari kubambikiza kesi za uhaini na ugaidi kwa watu wasio na hatia.

Lazima tujiulize Kuna Nini CCM wanakipigania hivi hadi kuona uhai wa watanzania hauna maana?. Jibu ni kwamba CCM wanalinda kitu Zaidi ya madaraka, wanalinda madhabahu yao. Ambapo siku madhabahu hiyo ikiwekwa wazi au ikipungua nguvu, watanzania watashuhudia vitu vya ajabu kiasi kwamba hawataamini wanayoyaona. Mambo ya ajabu yatatokea. Ulishawahi kuuliza kwanini CCM wanahangaika na CHADEMA mpaka wanatumia nguvu za ziada? Umewahi kujiuliza kwanini CCM inahangaika na Lissu? Mpaka kuamua kumpiga risasi na Sasa kesi ya uhaini ili anyongwe?. Jibu ni kwamba wametumwa na madhabahu yao maana inaona ya kesho na imegundua Lissu ana nguvu ambayo isipochungwa itaiathiri hiyo madhabahu huko mbeleni.

Hivyo CCM inaona Bora ilinde madhabahu yake ambayo ndio inaongoza Tanzania kwa Sasa, hata kwa gharama ya kuua watanzania. Maana nguvu ya madhabahu hiyo ya CCM ni kubwa kuliko mauaji wanayofanya. Maana madhabahu yao ikiishiwa nguvu Tanzania haitakalika hata kidogo, Siri nyingi zitakuwa wazi.

Suluhisho liliopo ni kupata madhabahu nyingine safi itakayopambana na madhabahu ya CCM. Kwa sababu madhabahu ya CCM ni chafu yenye Giza madhabahu ya kushindana nayo lazima iwe ni safi na yenye Nuru. Hapo ujanja wa CCM utaisha.

CHADEMA fanyieni kazi hili jambo. Tengenezeni madhabahu ya CHADEMA yenye usafi na Nuru ndipo mtaiweza CCM.
Viongozi wanampango mkubwa sana wa kugawana maeneo ya jiji la Dar es Salaam, wanaanza na Sinza na wilaya ya Temeke. Ili hili lifanikiwe wanaanza na wale wanaodhani ni wapiga kelele wabaki waoga.
 
Back
Top Bottom