Kuna Siri CCM inaficha watanzania na ambayo itakuja kutuumiza au kuumiza vizazi vijavyo. Kuna kitu CCM inakilinda kwa jasho na damu, ni kitu Gani hiki?. Kwa fikra zangu za kawaida sidhani kama ni madaraka. Kuna kitu Zaidi ya hapo.
CCM wapo tayari kummiminia risasi raia Tena kwenye maeneo ya serikali ya CCM. CCM wapo tayari Kumfukuza Makamu wa Rais kisa tu kahoji kuhusu Katiba mpya. CCM wapo tayari kuua Raia wa Tanzania kisa wanataka mageuzi ya mfumo wa uchaguzi. CCM wapo tayari kubambikiza kesi za uhaini na ugaidi kwa watu wasio na hatia.
Lazima tujiulize Kuna Nini CCM wanakipigania hivi hadi kuona uhai wa watanzania hauna maana?.
Hivi Mkuu hujaelewa kwa nini piga ua CCM hawakubali kuondoka katika kipindi hiki, na wako tayari hata kuua?
Siri ipo katika kile kitakachotokea Tanzania kuanzia miaka mitano ijayo, wakati nchi itakapoanza kuwa na uchumi wa kutosha kujenga kila barabara zinazounganisha wiaya kwa kiwango cha lami, kutoa elimu bure hadi chuo kikuu, kutoa huduma za afya bure, kuboresa huduma za usafiri nchini, maji nk. Na haya yatatokea si kwa ajili ya sera za chama tawala bali ni kwa neema ambazo Tanzania itajikuta ipo katikati yake. Hizi zinakuja ndani ya miaka mitano hadi kumi ijayo, na yanayokuja haitakuwa kwa bidii ya chama chochote kitakachokuwa madarakani, japo chama kitakachokuwa madarakani kitajisifu kuwa yanatokea kwa sababu ya utawala wao bora ukilinganisha na vyama vingine. CCM wanajua hilo, hawataki haya yanapoanza kutokea wao wawe ndio chama cha upinzani.
Soma hapa chini:
Tanzania: An African economic giant in the next ten years?
Tanzania has a credible opportunity to emerge as one of Africa’s most important economic powers over the next decade, particularly in East and Central Africa. Its combination of mineral wealth, expanding electricity generation, natural gas, strategic ports, railways, and access to the markets of several landlocked countries gives it a particularly strong development platform.
What makes Tanzania's prospects particularly interesting is not any single discovery or project. It is the potential interaction between them.
For example, electricity can power mineral processing; railways can transport processed minerals to ports; ports can serve regional manufacturing and trade; and gas can supply industrial heat, feedstocks and export revenue.
Tanzania's mining base extends beyond gold to include nickel, graphite, rare earth elements, uranium and other strategic minerals. The government is seeking to increase mineral processing, refining and downstream production.
Tanzania's helium resources could become strategically important because helium is used in medical imaging, semiconductor production, scientific research and other specialised industries.
Separately, the proposed offshore LNG development could be transformational. In October 2026, Reuters reported that Tanzania was approaching the finalisation of agreements for a project estimated at US$42 billion.
Tanzania has a potentially powerful geographic position for serving Rwanda, Burundi, Uganda, Zambia, Malawi and eastern parts of the DRC, alongside its large domestic market. Its ports and railways could help make Tanzania a preferred gateway for regional trade, particularly where its combined transport costs and reliability outperform competing routes. The opportunity is not simply to move other countries' cargo. It is to use the traffic to establish regional distribution centres, processing industries, financial services and manufacturing.