Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,741
- 7,679
Yeah ...huwa wanajua kabisa litakalowakuta wao na associates wao . Kuna jamaa ni kama alinidokeza mbogamboga huwa mpaka wanaajiri makampuni ya nje katika kukifanyia chama chao tathmini na research mbalimbali ili kujua authenticity yao kwa Tanzania japo Sina uhakika na hilo
We ogopa kwamba mpaka senior military officers na wakubwa wengine kwenye maswala ya ulinzi wanafuatiliwa mienendo yao , unategemea nini? Ccm wanajua kabisa na wanajifunza yanayotokea Duniani kuanzia Madagascar mpaka west Africa huko ,hivyo lazima wachukue all possible precautionary measures ili ku maintain...
NB: Credit kwa mchina 😎🫢
Hakuna lolote. Wangekuwa smart kama usemavyo wangekuwa wanateka wanapoteza na kuwaua watu kiasi hiki??Mkuu umesema ukweli mtupu CCM iko mbele sanaaaa ya muda huu ndo ukweli... hili la research nakuunga mkono na kuna mabadiliko makubwa ndani ya chama yanakuja ikiwemo ya kimuundo.
Ukweli ni kwamba hawa jamaa kwa nje ni kama wajinga ila wako smart sana linapokuaja swala la kulinda dola.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na CHADEMA ila wengi hawajui yanayooneka nje sio yanayofanyika ndani.
CCM siyo chama cha siasa wala mali ya wanachama. Bali ni mali ya kundi fulani linaloongozwa na M/K wake taifa.
Hebu fikiria Makamu wa Rais anaweza kudakwa na kufungiwa bandani kama kuku huku Wanaccm wakikaa kimya. Unafikiri wamependa? Ni nguvu aliyonayo Mmiliki wa lile kundi kutokana na kujimilikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Tanzania tuna Mihimili mitatu lkn yote yako chini yake (kajimilikisha indirect)