Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

Kwa damu zilizomwagika na kupoteza roho za watu bila aibu Wala huruma ni lazima nguvu ya kubaki madarakani iongezeke. Kwa ufisadi mkubwa na mikataba mibovu inayopita Mangungo wa Msovero ni lazima nguvu ya kulinda madaraka itumike. Kwa ujumla ni kwamba wanaogopa kulipana kwa visasi na huko tuendako ndiko kubaya zaidi
Kweli kabisa mkuu. Maana kwa mauaji waliyofanya lazima wajilinde maana wakitoka watashatakiwa.
 
100% True.

1. Mkuu wa mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa.
2. Akimaliza hicho kikao,siri na taarifa zote alizopewa na kupokea,kesho yake,anaitwa, kwenye kikao cha sisiem ,Mjumbe wa Kamati ya siasa ya sisiem ya Mkoa.
Kwa mantiki hiyo kikao cha Kamati ya ulinxi na usalama ya Mkoa na Kamati ya siasa ya sisiem mkoa ni kikao kimoja!
( Ndio tunakosema, Sisiem ni Dola na Dola ni sisiem).
3. Ukienda Ngazi za wilaya ni hivyo hivyo!
Hii system ni mbaya sana.
 
sasa hivi wanatoa darasa kwa wajumbe na kufanya tathimini kwenye kata zao,

Hakuna lolote. Wangekuwa smart kama usemavyo wangekuwa wanateka wanapoteza na kuwaua watu kiasi hiki??

CCM siyo chama cha siasa wala mali ya wanachama. Bali ni mali ya kundi fulani linaloongozwa na M/K wake taifa.

Hebu fikiria Makamu wa Rais anaweza kudakwa na kufungiwa bandani kama kuku huku Wanaccm wakikaa kimya. Unafikiri wamependa? Ni nguvu aliyonayo Mmiliki wa lile kundi kutokana na kujimilikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Tanzania tuna Mihimili mitatu lkn yote yako chini yake (kajimilikisha indirect)
Hii CCM ya sasa hivi haina mbinu wala wataalamu wowote,Wanapumulia machine,Walitengeneza fake image ambayo Lisu amekuja kuwa expose vibaya sana,Mbinu zao za Propaganda ni zile zile na wanazirudia kila uchao..Wanamiliki Dola,waongoza kwa kutumia terror + fear,pia Surveillance,Mara Leo wakate kijana Kichwa na kutupa mwili wake ,kesho wateke,ili kutisha watu,Propaganda zao chini ya Propagandist Makonda ni zile zile na za kawaida,hawana jipya,Wamelipia Wataalamu kufanya Image Management ya Samia lakini mbona kila mbinu Watanzania wanaigundua,Sport Washing na maupuuzi mengine..
 
Wakitaka kujimaliza wamnyonge Lissu tu.
Washaona wabongo wote mafala wamekufa 10,000+ kwa kupigwa risasi wabongo wote mikia wametia mkunduni ndio imeisha hio, kwa hio wanawafanya wanavyotaka.. kuanzia Mkuu wa Gereza na Kaimu Makamu Mkuu wa Gereza alipowekwa kizuizini wote ni CCM, sasa sijui nikwambieje uelewe
 
Suluhisho liliopo ni kupata madhabahu nyingine
Sitaki kukuhoji kwa kina, kwa sababu siku zote najuwa unakosimamia.
Naomba tu labda uifafanue hiyo dhana ya "madhahabu" uliyoitumia kuwasilisha hoja yako.

Binafsi sikubaliani na hilo wazo la "CCM" kufanya hayo uliyoeleza. Nilishasema siku nyingi humu JF; CCM ni jina tu la chama linalotumiwa na Genge la watu waovu.

Matatizo yote yanayoikabili Tanzania sasa hivi ni hili kundi la watu waovu. CCM haipo na wala haina mamlaka yoyote.
 
Ondoa ujinga wako hapa wewe
A 26-year-old patient presents with an acute, abrupt onset of intense fear and physical discomfort, reaching peak intensity within 10 minutes.

The clinical picture is highly indicative of an Acute Panic Attack
(ICD-10: F41.0 / DSM-5: Panic Attack Specifier) triggered by a sympathetic nervous system surge.

Relax, Relax Relaxxxx
 
Bila kuingia msituni CCM haita achia madaraka
Umepotea...

Hii njia haitatupatia ushindi bali itaufanya mgogoro na vita hii kudumu miaka mingi bila mshindi kupatikana..

Case study: Ni mgogoro wa vita ya wao kwa wao DR Congo; Israel vs Hezbollah wa Palestina au Ukraine vs Urusi. Wananyukana kila siku na miaka yote bila mshindi wala mwafaka kupatikana..!

Moto hauzimwi kwa kuwasha moto juu yake bali huzimwa kwa kuu - neutralize na carbon dioxide gas...

CHADEMA wako kwenye right track, yaani kutotumia violence means kukabaliana..

Uovu hushindwa na HAKI...

Giza hushindwa na Nuru...

CHADEMA wanatumia njia sahihi kabisa kupambana na hayawani hawa, na njia hiyo ni kukataa kushiriki ktk njia zao za uovu (kukubali hongo na rushwa) ili kujaribu kujenga wanayoyaita mahusiano mema a.k.a mapendano a.k.a maridhiano huku ukweli ukiwa ni kuwafanya washiriki ktk uovu wao na baadae waanze kusema;

"mbona tuliwapa hiki au kile wakakubaliana na sisi? Wasiwadanganye hao kwa kuwa hata wao si wasafi, ni wachafu tu kama sisi..."​

Only one thing is missing in their strategy. Hawamshirikishi Mungu Yehova ipasavyo. Na hiki ndicho hasa alichokisema mleta hoja hii, kuwa hajaijenga madhabahu ya Mungu Yehova mwenye nguvu kuliko miungu mingine yote...

Kama wakinitaka Mimi niwashauri, ushauri wangu utakuwa rahisi sana, kuwa WAMFUATE ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA na WAXINGATIE YOTE ATAKAYOWAELEKEZA KUFANYA...

Askofu Josephat Gwajima for your information, naye ni adui mkuu wa CCM na serikali yao haramu. Wametafuta kila njia ikiwemo kutumia wachawi wao, majini yao, waganga wao and all other diabolic means Ili wamnase na kumwangamiza, lakini wameshindwa kwa kuwa madhabahu ya Askofu Josephat Gwajima ni ya Mungu Yehova wa kweli ktk Yesu Kristo and is more stronger than their witchcraft altars...

Ni hivyo, and the game is over...
 
Exactly... Tena kwa ushirikiano mzito kutoka kwa maswahiba kama Russians na Mchina (na wengine baadhi)... Majamaa wanakalishwa chini kufunzwa na ada wanalipa Namna ya ku maintain control of the state.....Ccm wanajua fika kabisa hawana backup ya Raia wengi huku chini .. hivyo lazima watumie mbinu advanced za kijasusi ....Kuna jambo ningegusia hapa lakini anyway acha nijufunze kunyamaza😎
Mkuu kiukweli kwa siasa jamaa wako mbele ya muda sanaa
 
sasa hv kwanza wanatoa semina kwa wapiga kwa wajumbe wao wote, na kufanya tathimini ,nini kimepelekea hali hii, jamaa hawabaahatishi kabisa ktk kutafuta madaraka na ndio maana ukiwazungua wanakumaliza
Jamaa wanakutana na wanachama na kamati za siasa alafu kwa siri sanaaa wanaongea na wazee wenye ushawishi mojamoja.
 
Unakuwa unfair kumlinganisha CCM na CHADEMA. CHADEMA ipo uraiani na Haina serikali Wala hajawahi kuwa na serikalini. Pia CCM inahodhi vyombo vyote vya maamuzi. Kuanzia wenyeviti wa mtaa, Halmashauri, bunge na Baraza la Mawaziri. Sasa utawalinganishaje na CHADEMA.

Kwangu CHADEMA ndio wanaakilinna strategy kuliko CCM. Uliona walivyoendesha uchaguzi wao wa ndani. CCM wanaweza kuruhusu demokrasia kama hiyo? Wameweza kuhimili vitisho, mauaji, mateso na manyanyaso ya CCM miaka yote hiyo. CHADEMA is bright than CCM.
Hahaha kwenye siasa za CCM uchaguzi wa ndani ni kakitu kadogo sanaaa mkuu wala sio kakujadili
 
Back
Top Bottom