Njia pekee ya kuimaliza CCM ni kutumia mfumo wa Los Pepes!! Unakata kuanzia chini kuja juu,
1. Huko polisi kwanini CHASO inashindwa kujaza wana chadema kwenye recruitment za majeshi?
2. Chadema inashindwa kuanzisha timu ya mpira kuikata nguvu simba na Yanga ambazo ziko wazi kuwa ni CCM? Embu fikiria CEO wa Simba alikua chadema damu ila ilibidi achukue kadi ya CCM ndio apewe hiko cheo? Means simba na yanga ni matawi ya CCM.
3. Chadema ina mawakili kibao tu na inakubalika na TLS je imewezaje ku indoctrinate mawakili na majaji wengi kwa sera za chadema ili waje kushika nafasi za juu za maamuzi mahakamani??
Mifano ni mingi ila inatakiwa nguvu itumike kuikata CCM kuanzia kwenye matawi yake iwe ni media, dini, michezo, wadhamini, mahakama, polisi, Jeshi, TISS, huko tukiweza mbona wanaondoka asubuhi tu.
Sasa hii inahitaji mikakati ya long-shot sio basically mikutano bali board-room negotiations, lobbying, sleeper cells, indoctrination, cult-following, geopolitics n.k
Cc
Proved