Toka kwenuMama angu anapenda sana kutuma😔
Mkuu nakukubariMi nahisi hapendi hasira zangu ila haniambii...ngoja nijiswitch off mwenyewe
Barikiwa sana 😍Mkuu nakukubari
Uhame kwenu...Mama angu anapenda sana kutuma😔
AsanteBarikiwa sana 😍
Huo mpango sinaa!Toka kwenu
Kwetu bado niponipo sana.Uhame kwenu...
Aah no usihame maana wanaume kwa sasa hatuoi mwanamke anayeishi gerooo
Vumilia sasaHuo mpango sinaa!
Kwetu bado niponipo sana.
Mchane tuuMama angu anapenda sana kutuma😔
Hehee kuna mtoto wa ndugu alikuja kwetu likizo. Stori za hapa na pale,, mtoto karopoka yan Lenie anapenda kutuma hata kama kitu kipo nyuma yake.Mama angu anapenda sana kutuma😔
Asante sana 😍Nipo nipo...
Upunguze hasira
Ndo nishakuchana hivyo....