Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

Acha majivuno ,salimia watu !!.
 
Ki ukweli sipendi kuchart , hivyo mtu wangu anaponitumia sms zaidi ya mbili simjibu.
 
ile kujisifia sana sikubarigi kabisa na jamaa angu yeye ni mtu wa showoff tu haijarishi yuko na nani ila majivuno ka ngonjera
Siipend mnoo hii tabia..but i dont judge.
Human Psychology describes the fact kwamba mtu always hupenda kujizumgumzia yeye primarily, ndio maana ni muhim sana kujizoesha kusikiliza zaid kwasababu utajikuta unawajua watu kirahisi sana
 
Hapo nakubali. Ni kama maza angu yeye anasema siwapigii simu ndugu au kuwatembelea , mara najitenga . Yaani hizo pigo sina. Kukiwa na ulazima nitapiga kinyume na hapo never.
 
Vyovyote itakavyoonekana. Kama sina stori sisumbui watu..
Maisha yanabadilika best, ndugu zako ndo watakao tafutwa kipindi umepata majanga hujitambui.

Binafsi Mimi nawapenda sana watanzania wenzangu,Siwezi kumpita mtu bila kumsalimia.
 
kuniforce kufanya jambo....we umekuja bwana ee nna 1 2 3 nimekupa jibu NO unaanza kulalamika na kulazmsha kufanya unavotaka ww aseee SIPENDI HIKI KITU na kingine kunibishia kitu nnachojua zaid yako oyaa UBINADAMU KAZI asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…