Kuna kitu gani kilichojificha hapa kati ya wamama na viserengeti boys?

Kuna kitu gani kilichojificha hapa kati ya wamama na viserengeti boys?

Nothing is good or bad but your thinking make it so.

Kuna vitu ambavyo wangependa kufanyiwa na wenzi wao lakini ni ngumu kufanyiwa. Ndio maana wanatafuta watu wa kuziba "GAPE".
 
Kama hukupitia vipindi hivi una hasara kubwa
Utotoni hukucheza
Ujanani - hukujituma kujua mengi, kupata maarifa,...
Uzeeni - Lazima huwezi kuwa mtu mwenye busara.
Busara ukiwa nayo huwezi kufanya mambo ya kipuuzi kama ya kushabikia ngono kwa watu wanaozidiana umri.
 
Mimi naamini,asilimia kubwa ya vijana wenye miaka 15-25 wakianza mahusiano na majimama basi ujue wanataka mteremko tu..
Na hilo linawezekana,
Jambo la pili jimama linapopewa appointment linawahi kabla ya muda na linakutwa tayari limeishajilewesha (si lina pesa?) tofauti na wadada waongo waongo - oh! nilisubiri mama atoke ... kumbe woga wa kudooo!
 
Hao vijana ni wavivu wa kutafuta na wanapenda starehe hawana lolote ni tamaa tu, hao wamama nao wanapenda mchamchaka panapo sita kwa sita, so hawajutii kuhonga hawa wavivu wa kutafuta
 
Vijana wa kiume = wanataka mijimama ili wapate unafuu wa maisha.(kuhongwa) kwa maana wavivu.
Mijimama = inataka wanawataka wavulana kwa ajili ya mapenzi au kuwapa ukimwi.
Vibabu =vinataka visichana kwa tamaa ya mapenzi au kuwapa ukimwi.
visichana = vinataka vibabu ili wapate pesa wakiamini kwa wazee pesa zipo na shughuli yake sio kubwa.
 
pia hako ka mvutano kapo kwa kina dada zetu na vibabu vyao aisee huko ndio utachoka especialy vile vya kizungu ndio khaaa....
 
Mteremko tu ndo wanachoangalia,,,,wakipewa vibuku ten ten kwao wanaona maisha sindo hayo.
 
Back
Top Bottom