God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
sikuyapata mkuu, kwani alisema nini?Shilole mbona kishatoa majibu Mkuu?
Alisema vijana wadogo wanajua mambo. hakuna asietaka rahaasikuyapata mkuu, kwani alisema nini?
Na hilo linawezekana,Mimi naamini,asilimia kubwa ya vijana wenye miaka 15-25 wakianza mahusiano na majimama basi ujue wanataka mteremko tu..
kumbe wewe ni mtu mzima? hongera kaserengeti boi kako kazima?kijana unamuambia akufanye unavotaka,watu wazima tunaona aibu kwa hyo hupati raha inayotakiwa
hakajambo kamemaliza la saba juzi tupo nae hapakumbe wewe ni mtu mzima? hongera kaserengeti boi kako kazima?