Kuna Kitu Hakiko Sawa Pale Simba SC

Kuna Kitu Hakiko Sawa Pale Simba SC

Kuna tatizo kubwa sana pale ndani.

Yes! Barbara amesema “Everything is OK” lakini ameisema ili kuepusha upepo mbaya masikioni pa mashabiki wa soka.

Deep down in her heart kuna kitu hajafurahishwa nacho. Ilikuwa atangaze kuiachia nafasi kwa kisingizio kuwa anaenda nchi ya mbali kufanya kazi fulani. Baada ya kujifikiria akaamua kuhairisha jaribio la kuachia kiti.

Pesa tamuuu wewe asikwambie mtu. Madam wenu ameamua kuendelea kufanya kazi lakini bado atafanya kazi na watu ambao bado ana chuki nao. Yes atapaswa kufanya kazi kwa karibu na Kassim.

Si mnajua tabia yake ya chuki, visasi na majivuni? Ndio basi hakuna jambo litafanyika kwa manufaa bali ni suala la kujionyesha na kujithibitishia kuwa mimi ni bora kuliko wewe.

Jambo kubwa zaidi ni saga ya Bernard Morrison. Hahaha CEO bhana, ana mambo mengi mno huyu bi mdashi.

Anyway acha niingie kitandani sasa niwaachie muda wa kumeng’enya machache haya ila ile klabu ina mambo ya siri sana kama alivyo jisemea Bernard Morrison mwenyewe [emoji23][emoji23]

“Tumia Akili, Usitumie Uloto Wa Ugoko Kufikiri”
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom