Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Hawa mafundi wa kibongo wanafikirisha sana tena probox..!!
Ndo gari zetu za kwenda Manyovu na KasuluPro box ni gari ambayo inaweza kubeba vitu vingi na kwenye safari inaweza kwenda popote.Njoo kigoma na uganda
Si atumie mazda 😂We jamaa acha ulofa kwan mtu hawezi kuwa na magari hata matano mengine kwa ajili ya shughuli zake za ofisi acha kukariri watu wako mbali Mzee kiuchumi.
Imagine angekuwa anatengeneza yeyeKwamba Davido atumie Infinix. View attachment 3411982