Kuna kitu hakipo sawa DR mazda anatumia toyota??? Kwanini asiziamini mazda anazotengeneza??

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
2,284
Reaction score
4,595
Hawa mafundi wa kibongo wanafikirisha sana tena probox..!!
 
Pro box ni gari ambayo inaweza kubeba vitu vingi na kwenye safari inaweza kwenda popote.Njoo kigoma na uganda
 
Pro box ni gari ambayo inaweza kubeba vitu vingi na kwenye safari inaweza kwenda popote.Njoo kigoma na uganda
Ndo gari zetu za kwenda Manyovu na Kasulu
 
We jamaa acha ulofa kwan mtu hawezi kuwa na magari hata matano mengine kwa ajili ya shughuli zake za ofisi acha kukariri watu wako mbali Mzee kiuchumi.
Si atumie mazda 😂
 
Hiyo ni MAZDA FAMILIA.
Mazada na toyota kuna ushirikiano waliufanya, hivyo probox ama succeed zinaitwa mazda familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…