Bado sio shida pia maana huyo nguruwe aliefugwa karibu na msikitini ana msimu wake wa malisho ukiisha ataenda kufugwa NGAMIA karibu na kanisa ili kubalance minzaniKitu ambacho mleta mada hukijui ni kuwa ufugaji ili kufanikiwa Kuna utaratibu na kanuni lazima zifuatwe ili kuwapata wachungaji na waangalizi wa hawa Ngamia na Nguruwe.
Sasa Taifa limekwenda kufuga Nguruwe karibu na Msikiti, shida ndiyo ipo hapo! Aliyeelewa ameelewa!
Nahisi umeongea vice versa mimi naona kutengenezwe mazingira kila mfugo unenepeshwe na ulishwe kulingana na msimu wakeHii thread iwekewe lamination ,yaani tunashindwa kukubali ukweli ..Kilichobaki ni kutengeneza mazingiria ili ngamia asipate malisho kabisa .
Nakubaliana na weweNahisi umeongea vice versa mimi naona kutengenezwe mazingira kila mfugo unenepeshwe na ulishwe kulingana na msimu wake
Kuna kipindi cha msimu wa malisho kwa nguruwe pia alikuwa anakula mazao lakini hakukatiwa majani na alikuwa ananenepeshwaNgamia alikuwa mnyama mpole na mpenda haki huko nyuma, ila huyu wa Sasa ameanza kuharibu mazao yetu ambayo tumeyapanda wenyewe, Sasa tutampendaje?
Kanisa halina shinda na ufigaji wa Ngamia au Nguruwe. Kanisa linataka utaratibu na kanuni za kuwafuga wanyama ufuatwe kwa kuzingatia haki za wanyama.Bado sio shida pia maana huyo nguruwe aliefugwa karibu na msikitini ana msimu wake wa malisho ukiisha ataenda kufugwa NGAMIA karibu na kanisa ili kubalance minzani
Hivyo hivyo kwa msikiti hawana shida kwa ufugaji wa nguruwe na wakati wa msimu wa malisho kwa mfugo wa nguruwe wachungaji hutoa ushirikiano na kunenepesha mfugo wao ili wapate faida ila mambo hubadilika ikiwa mfugo wa NgamiaKanisa halina shinda na ufigaji wa Ngamia au Nguruwe. Kanisa linataka utaratibu na kanuni za kuwafuga wanyama ufuatwe kwa kuzingatia haki za wanyama.