Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Nilikuwa sielewi why Wema,lakini siku nilipomsikia mama yake anaongea,nikapata majibu there is nothing she can do maana haya mambo yake ni hereditary toka kwa mum
Kumbe karithi!kuna vingi vya kurithishana.
Mshana mada hii nahisi kama ina pande mbili kwa namna ulivyoiweka kuwa kuna uwezekano watu wamempiga msumali na kingine wadau wameeleza kuwa anapenda ku make headlines penye majarida pendwa(UDAKU)sasa pana mgongano hapo wa mawazo na mitazamo.
 
Wema anapenda sana haya magazeti yanavyomuandika

Angekua hataki angehamia zake kijiji cha Mkongotema tarafa ya Madaba mkoani Ruvuma mwisho wa kuandikwa na GPL ndo basi tena!
 
Ni kumpa Wema promoshen ya bure tu. Wanaume wengi tuna ugonjwa wa kupenda matako makubwa. Hakuna kitu kilichoharibika hapo, ingawa ni picha ya kutengenezwa.
 
Mkuu mshana jr, kuna zuri pia unaweza msaidia kwa kuzingatia mambo yako yalee kama Wema Sepetu atakuwa ameelemewa na nguvu za giza.
Utamsaidiaje?
 
Hakuna cha kizizi hapo ila binti ndo maisha yake aliyochagua kuishi.
Yaani ni sawa na kumfuatilia paka kivipi anapenda saana maziwa na samaki!
 
Ni mazingira aliyo jijengea na kujengewa toka nyumbani,elimu ya awali ina anzia nyumbani ndio makuzi yake,kambale kisha kauka huyo huwezi kumkunja too late.
 
wema ana pepo la uongo jamani, kama alivyojisemea zari miss fekero kila kitu fake hakukosea kabisa , hii mimba imemtia aibu, sijui anavyodanganyaga hafikirii kesho, maana ana uongo wa kitoto sana
Binam karibu kesho bills umwone Wema na tumbo lake akiwa na idriss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…