Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

huyu wema anatafutaga makubwa tu mbona akina k-lyn wana wanaume wa maana wametulia tu hawana shida, ye kupata madanga wa kumpangishia kijitonyama tu basi mtaa wa pili tunakoma, je angekua ana nyumba si tungekoma jamani, mmh ebu atulie bwana aache drama za kijinga
 
Na mmeshamkoma.
Mme ndio Sultan
 
Bado majority wameangukia kule kule kwenye kumshambulia kwahiyo tatizo lipo
Nimeongelea kuhusu hata makuzi yake hasa kupitia mama yake..kuna mabinti wengi tu wamepata makuzi mabaya kuliko hayo ya Wema na ile foolish age ikawapiga vizuri hasa lakini leo wametulia
Ni kweli kuwa Wema ni attention seeker hii ni hulka ya kiasili ya mtu..na kwa hili Wema aliweza..lakini naamini wengi waliona ile tweet yake kuhusu yeye kutozaa inatia huruma mno pale aliongelea uhalisia wake
Trending yake sasa hivi sio attention seeking tena bali ni desparation , setbacks, kukataliwa na jamii ni vidole kila anapopita anachofanya analosema.... .na hapa ndio penye tatizo
 
Namkumbuka Britney Spears! Nae alisumbua sana miaka ya 2007! Saivi hayupo tena ktk media Spotlight! It is a matter of time tu!
 
Bado majority wameangukia kule kule kwenye kumshambulia kwahiyo tatizo lipo
Nimeongelea kuhusu hata makuzi yake hasa kupitia mama yake..kuna mabinti wengi tu wamepata makuzi mabaya kuliko hayo ya Wema na ile foolish age ikawapiga vizuri hasa lakini leo wametulia
Ni kweli kuwa Wema ni attention seeker hii ni hulka ya kiasili ya mtu..na kwa hili Wema aliweza..lakini naamini wengi waliona ile tweet yake kuhusu yeye kutozaa inatia huruma mno pale aliongelea uhalisia wake
Trending yake sasa hivi sio attention seeking tena bali ni desparation , setbacks, kukataliwa na jamii ni vidole kila anapopita anachofanya analosema.... .na hapa ndio penye tatizo
Mkuu wit all due respect hata wewe ni tatizo kwake pia
Kulikua na ulazima gani kuweka hiyo picha ambayo unajua kabisa ni kosa kisheria? Na unalaumu watu wwanamsakama wema kwa mabaya tu!!!!!
 
Mkuu wit all due respect hata wewe ni tatizo kwake pia
Kulikua na ulazima gani kuweka hiyo picha ambayo unajua kabisa ni kosa kisheria? Na unalaumu watu wwanamsakama wema kwa mabaya tu!!!!!
Posts haijaegemea upande nimeweka picha karibia tano tatu ni wema asilia moja kajichubua na moja ni hiyo ya utupu ambayo ndio imekuwa gumzo
Ningeweka nyingi mbaya ndio labda ungenihukumu..nakuwekea tena picha zake nzuri
1455421460362.jpg
1455421488741.jpg
 
I am very sorry for Wema! Na am very sorry for her kwavile ni msichana na life style aliyoichagua. Kwa mwanamke, life style aliyoichagua inamfaa yule tu mwenye misingi mizuri ya kiuchumi manake, ukishakuwa na pesa, huzeeki hata kama kimsingi utakuwa umezeeka.
 
View attachment 323057Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa wapenzi wake wengi bado wako hai. Ni binti mwenye nyota kali ya mafanikio kwake na kwa wapenzi wake pia na nyota yake hii ilichanua mapema kabisa hata akapata mafanikio mengi kwa muda mfupi na akiwa bado mdogo
Nyota yake bado inawaka lakini imechezewa imefanyiwa kitu kibaya Wema wa bahati sasa ni wema wa mikosi nuksi na balaa
Habari zake za kuandikwa kila siku kwa mabaya zimemfanya achukiwe na wengi bila kufikiri zaidi..nilikuwa mmojawapo na nikasema ni utoto akikua ataacha...mabinti wengi wamepitia hiki kipindi hata hapa JF tunao ...Wema amejijengea maadui wengi kuliko marafiki, Wema amekuwa centre ya habari kwa lolote afanyalo au linalomtokea iwe kwa ubaya au kwa wema
Lakini hebu tujirudi na kujitafakari upya...tabia ya Wema ya sasa ina mahusiano ya karibu na makuzi yake na hasa malezi ya mama! Je tuna la kujifunza hapa???tukumbuke na sisi ni wazazi
Wema wa sasa anaporomoka kuanzia mwili shepu mahusiano nk nk...wengine wengi wamepitia haya lakini yakapita yakaisha, ya Wema hayaishi kila uchao tatizo liko wapi? Je haters wake wamefanya yao kwenye ulimwengu wa giza?
Wema anahitaji faraja ya kila mmoja sasa kila dakika na kila sekunde pamoja na mapungufu yake yote lakini bado ni binadamu kama sisi mwenye hisia maumivu na roho ya nyama ASAIDIWE
Huyu bado hajapata dume la mbegu,hawa mabishoo wa instagram na bongo fleva wanamgusa gusa tu kibrazameni,akipata mtu akampiga miti kisawa sawa mbona atatulia tu...ajaribu radha za kimakonde sasa huo utoto wake wote utakwisha.

Wema njoo kwa chinga ufundishwe ukubwa.
 
mshana jr huyu bi dada ni jipu,anamakuzi ya ajabu,anataka kuuleta umagharibu kwa lazima,then kuna issue iliwahi kuzuka katika mitandao mbalimbali kuwa most of hizo kopi za magazeti ambazo zinmwandika vibaya huwa kuna kamchezo fulani kanachezwa hapo ili awe front page,mfano wewe mshana jr unataka kuuuza sura katika gazeti,unaongea na waandishi wa habari wa magazeti ya udaku wanakutengenezea skendo yenye maslahi ya kuuza wewe then wanakupachika katika kurasa za ,mbele,kesho unakuwa gumzo nchi nzima,na hii hali pia ipo hata wasanii wengi nchini,huwa wanatafuta angel za kutokea kwa kujitengenezea skendo na kuwaomba waandishi njaa wawaandike katika front page za magazeti yao,

Mfano wa hili ni ile skendo ya samatta na mwanamke mmoja anayeitwa kidawa,hii kitu ni kidawa aliyeratibu na kuiuza katika magazeti ya kibongo ili apate headline awe maarufu kwa kuwa wa kwanza kutoka kimapenzi na samatta baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa duniaSAMATTA ADAI KUTENGENEZEWA SKENDO, AELEZEA HAPA JINSI ILIVYOKUWA | Mtembezi soma hap ujionee jinsi samatta alivyokanusha kwa ushahidi taarifa za skendo aliyosambaziwa na kidawa.

Hivyo mkuu,hawa dada zetu hapa bongo wanapenda kuishi maisha tofauti na uhalisia wao moja,mbili wanapenda umaarufu mavi kufuatwa na nzi kila mda,tatu inawabidi wafanye hivyo kwa kuwa bila hivo hawaishi,kwa maana ya kupitia hivo ndivyo wanavyoweza kupata pesa za kujikimu,nne ukichunguza maisha yao kiundani utatamani kulia,kwani wasanii wote kwa ujumla hawajiwezi kimaisha ila inawabidi tu kwa kuwa wanaonekana kideoni na vitu kama hivyo.

NAWAKILISHA AKILI ZANGU TATU
 
Back
Top Bottom