Unajua maana ya KIKI?halooo si mpaka, nasikia kashaachwa binamu
Na mmeshamkoma.huyu wema anatafutaga makubwa tu mbona akina k-lyn wana wanaume wa maana wametulia tu hawana shida, ye kupata madanga wa kumpangishia kijitonyama tu basi mtaa wa pili tunakoma, je angekua ana nyumba si tungekoma jamani, mmh ebu atulie bwana aache drama za kijinga
Nilikuwa sielewi why Wema,lakini siku nilipomsikia mama yake anaongea,nikapata majibu there is nothing she can do maana haya mambo yake ni hereditary toka kwa mum
Mkuu wit all due respect hata wewe ni tatizo kwake piaBado majority wameangukia kule kule kwenye kumshambulia kwahiyo tatizo lipo
Nimeongelea kuhusu hata makuzi yake hasa kupitia mama yake..kuna mabinti wengi tu wamepata makuzi mabaya kuliko hayo ya Wema na ile foolish age ikawapiga vizuri hasa lakini leo wametulia
Ni kweli kuwa Wema ni attention seeker hii ni hulka ya kiasili ya mtu..na kwa hili Wema aliweza..lakini naamini wengi waliona ile tweet yake kuhusu yeye kutozaa inatia huruma mno pale aliongelea uhalisia wake
Trending yake sasa hivi sio attention seeking tena bali ni desparation , setbacks, kukataliwa na jamii ni vidole kila anapopita anachofanya analosema.... .na hapa ndio penye tatizo
Posts haijaegemea upande nimeweka picha karibia tano tatu ni wema asilia moja kajichubua na moja ni hiyo ya utupu ambayo ndio imekuwa gumzoMkuu wit all due respect hata wewe ni tatizo kwake pia
Kulikua na ulazima gani kuweka hiyo picha ambayo unajua kabisa ni kosa kisheria? Na unalaumu watu wwanamsakama wema kwa mabaya tu!!!!!
aaaaaaahhhh , binamu hujui amenunua nyumba ya mil 500 na anaendesha range rover evoque
Just 10 years yaani huu ni mwaka 2016 tu!2006 huyu Binti alikuwa Mkali sana!
hiyo picha ya kwanza ni photoshop, ni cybercrime kama wema ataamua.
Huyu bado hajapata dume la mbegu,hawa mabishoo wa instagram na bongo fleva wanamgusa gusa tu kibrazameni,akipata mtu akampiga miti kisawa sawa mbona atatulia tu...ajaribu radha za kimakonde sasa huo utoto wake wote utakwisha.View attachment 323057Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa wapenzi wake wengi bado wako hai. Ni binti mwenye nyota kali ya mafanikio kwake na kwa wapenzi wake pia na nyota yake hii ilichanua mapema kabisa hata akapata mafanikio mengi kwa muda mfupi na akiwa bado mdogo
Nyota yake bado inawaka lakini imechezewa imefanyiwa kitu kibaya Wema wa bahati sasa ni wema wa mikosi nuksi na balaa
Habari zake za kuandikwa kila siku kwa mabaya zimemfanya achukiwe na wengi bila kufikiri zaidi..nilikuwa mmojawapo na nikasema ni utoto akikua ataacha...mabinti wengi wamepitia hiki kipindi hata hapa JF tunao ...Wema amejijengea maadui wengi kuliko marafiki, Wema amekuwa centre ya habari kwa lolote afanyalo au linalomtokea iwe kwa ubaya au kwa wema
Lakini hebu tujirudi na kujitafakari upya...tabia ya Wema ya sasa ina mahusiano ya karibu na makuzi yake na hasa malezi ya mama! Je tuna la kujifunza hapa???tukumbuke na sisi ni wazazi
Wema wa sasa anaporomoka kuanzia mwili shepu mahusiano nk nk...wengine wengi wamepitia haya lakini yakapita yakaisha, ya Wema hayaishi kila uchao tatizo liko wapi? Je haters wake wamefanya yao kwenye ulimwengu wa giza?
Wema anahitaji faraja ya kila mmoja sasa kila dakika na kila sekunde pamoja na mapungufu yake yote lakini bado ni binadamu kama sisi mwenye hisia maumivu na roho ya nyama ASAIDIWE