KUNA KITU KIKUBWA NIMEKIONA KWENYE NYIMBO(VIDEO) ZAMANI KUHUSU HAWA WANAWAKE

salkam bous

Member
Joined
Oct 3, 2026
Posts
43
Reaction score
71
Habari za asubuhi wakuu natumaini ni wazima wa afya kabsa mimi pia namshukuru mungu kwa kuamka salama kuna. Kitu nilikuwa nafanya uchunguzi kuhusu ushawishi wa wanawake kwa wanaume wa sasa. Ishu ambayo inapelekea kuongezeka kwa promiscuity,golddiggers, na hata cheating.nilikuwa nafanya utafiti kupitia bongo movies za miaka ya nyuma zile scene za clubs kwa sana pamoja na videos za ngoma za wasanii kama zeze ya T.I.D ,fagio la chuma ngoma ya fagio la chuma,dudu baya na ngoma zoote za miaka ya nyuma ambazo madem wanadensi. Nimegundua kwamba wale wanawake wa miaka ile walikuwa wanatumia VIUNO kuwashawishi wanaume kwa kuvizungusha na kwa opinion yangu nafikiri kiuno kina influence ndogo sana katka kumshawishi mwanaume ndo maana zamani watu walikuwa hawachiti sana ukilinganisha na miaka ya hivi karibuni ambapo shepu zinatengenezwa kwenye magym na maospitalini(mloganzila).shepu hizo(matrako) yamekuwa yakiwashawishi wanaume wengi kuingia kwenye mtego huo kwa sababu yamekuwa yakitikisika kwa ushawishi mkubwa sana ukilinganisha na viuno vya enzi zilee.Kitu ambacho kinafanya wanaume watafute ela nyingi sana waweze kuishughulikia mizigo,pipytida n.k hiyo ya (wanawake wa humu nawapa CODE hiyo kama kuna ulazima wa kufanya hivyo kama hamna iacheni) Hii hali inapelekea wanaume sisi kuachana na wapenzi wetu hili kuipata radha tofauti za kalio hizoo AHSANTE
 
Nguvu uliyotumia kwenye uchunguzi huu ungehamishia kwenye mambo msingi nchi ingefika mbali
 
Back
Top Bottom