Kuna kitu kina nipa mashaka Mo foundation na jinsi kinamfanya kuwa billionaire

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation.

Ila nimeona sio jambo zuri kuweka wazi ila kama unataka ukwepe kodi na kujipatia pesa nyingi hapa kuna tisha.

Nachosema hapa ukifatilia mfano foundation utaona kuna ndugu na mali wanazo sema ni zile za kuaminika na zinaweza kutumia pesa kuwa wameweka ili kuchukua kama mtindo wao.

Kuna faili ukiweka hapa linaweza kuleta tatizo maana ndio dunia inafanya hata putin na abromovich wamefanya kwa mataifa ya watu.
 
Ili uwe billionaire Clean, issue za Philanthropy huwezi kuzikwepa zina faida zaidi ya hasara ya Mia Mbili utakazo wapa wamatumbi

Mo hawezi kukupenda Wewe mtu wa kazulamimba akupe scholarship
 
Mkuu ukisikiliza story hakikisha unaimaliza ili uje kusimulia
Asisahau pia kumtafuta mtoto mdogo wa darasa la pili amsaidie kuedit vyema Uzi wake ili usomeke na uwe na mwandiko mzuri
 
Sio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation.

Ila nimeona sio jambo zuri kuweka wazi ila kama unataka ukwepe kodi na kujipatia pesa nyingi hapa kuna tisha.

Nachosema hapa ukifatilia mfano foundation utaona kuna ndugu na mali wanazo sema ni zile za kuaminika na zinaweza kutumia pesa kuwa wameweka ili kuchukua kama mtindo wao.

Kuna faili ukiweka hapa linaweza kuleta tatizo maana ndio dunia inafanya hata putin na abromovich wamefanya kwa mataifa ya watu.
Mkuu mbona una madini alafu hutaki kumaliza
 
Ongeza elimu yako kwenye CSR alafu hautaanzisha tena hizi nyuzi.
 
Back
Top Bottom