Kitu gani [emoji23]Una kitu ila kwanini umeamua kuishia njiani unashindwa nini kumalizia kitu ulichonacho
Asisahau pia kumtafuta mtoto mdogo wa darasa la pili amsaidie kuedit vyema Uzi wake ili usomeke na uwe na mwandiko mzuriMkuu ukisikiliza story hakikisha unaimaliza ili uje kusimulia
Mkuu mbona una madini alafu hutaki kumalizaSio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation.
Ila nimeona sio jambo zuri kuweka wazi ila kama unataka ukwepe kodi na kujipatia pesa nyingi hapa kuna tisha.
Nachosema hapa ukifatilia mfano foundation utaona kuna ndugu na mali wanazo sema ni zile za kuaminika na zinaweza kutumia pesa kuwa wameweka ili kuchukua kama mtindo wao.
Kuna faili ukiweka hapa linaweza kuleta tatizo maana ndio dunia inafanya hata putin na abromovich wamefanya kwa mataifa ya watu.
Ongeza elimu yako kwenye CSR alafu hautaanzisha tena hizi nyuzi.Sio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation.