Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Tufanye hivi Uingereza na Waingereza hapa utakuta
Nini nachotaka tutafakari sote kwa pamoja?
Wenda maendeleo yanahusisha baadhi ya mambo ambayo yatupasa sisi kufahamu ili tutoke hapa tulipo tusonge na wenda ndio hayo hayo mambo yanayo tufanya sisi tuwe hapa tulipo.
Sioni kama hii ni hali ya kawaida kwa jamii fulani kufanya maendeleo makubwa iwe ipo ndani ya nchi yake ama hata nje ya nchi yake.
Kwa utafiti mdogo hizo jamii baadhi hapo juu nilizo jaribu tolea mfano hata zikikabidhiwa baadhi ya maeneo au nchi hapa barani Afrika kwa mfano kwa kipindi fulani zinaweza kufanya kile kile walicho pelekea kuendelea maeneo waliyotoka.
Ni muhimu kufahamu sote kwa pamoja ni nini hasa kichochezi cha maendeleo katika jamii na kitu gani kinatuweka hapa tulipo?
- U.K
- Canada
- Australia
- New Zealand
- U.S
- China
- Hong-Kong
- Macau
- Taiwan
- Singapore