BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
[emoji23][emoji23]Ngoja nibaki na Simba yangu tu.
Naacha kua mtabiri njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Ngoja nibaki na Simba yangu tu.
Naacha kua mtabiri njaa
Purely talented and charismatic fellaKama natabiri Mambo mapema tu na yanatokea unadhani sistahili Sifa / hizo Sifa Mkuu?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Nina Shani / Tunu nyingi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na GENTAMYCINE nitaendelea kuwa juu hapa JamiiForums mpaka Wanaonichukia na Kutofurahia Ushindi wangu wa Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2022 wakiongozwa na niliyemshinda na hakufurahia Greatest Of All Time apasuke Ubongo.Gentamycine Antibiotique !
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Game Changer and Entertainer GENTAMYCINEPurely talented and charismatic fella
GENTAMYCINE napendwa na Kila Mtu hapa JamiiForums na ukiona nachukiwa jua hao Wanaonichukia wana matatizo ya Akili.Modearator na wewe umekuwa chawa ?
Khabari yako mkuuUganda labda washinde Njaa
GENTAMYCINEThe King
Wamekusikia Mkuu.Nilisema hapa week iliyopita. Hizo PhD za heshima wanazopewa wapumbavu huko ni bora wangempa Gentamycin tu.
nzuri Mkuu, kihelehele kimeniisha ,Taifa stars nawaachia nyie.Khabari yako mkuu
waachie "Wao" mimi nachagua kushabikia timu ambayo itacheza against staz, mapenzi hayalazimishwi bhana nachagua upande utakao nipatia furaha[emoji23][emoji23] maisha mafupi sana!nzuri Mkuu, kihelehele kimeniisha ,Taifa stars nawaachia nyie.
Dr. GENTAMYCINE umeshaandika na kimeeleweka,, mimi nikatae kama nani!Kujiamini kulikopitiliza + Dharau + Furaha = Kutokuamini kwa Kitakachotokea leo kwa Mkapa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!Dr. GENTAMYCINE umeshaandika na kimeeleweka,, mimi nikatae kama nani!
Thanks for the sincerely Credits Chief. I'm blessed with Intelligence, Vision and strong Psychology.Great of all in the forum. Perfect gentamycine. Our very own reliable source.
Unajisikiaje kwa kuifanyia uchuro Taifa stars?Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!