Mkuu habari ni hiiNimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Mbona ipo kwenye akaunt yake ya instagram toka jana aliweka au hukuona?Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
OK! Nimeperuze X sijaona. Basi naomba Mods wafute hii threadMbona ipo kwenye akaunt yake ya instagram toka jana aliweka au hukuona?
Acha kukurupukaMods basi naomba mfute hii thread. Apology! Active
nakujaAcha kukurupuka
Pole Ila haupo updatedNimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Uhakika wa hiyo barua kuwa yake uko.wapi?Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
njia ya mtu muongo ni fupi soma tittle yakoOK! Nimeperuze X sijaona. Basi naomba Mods wafute hii thread
Polepole hana akiliNimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Alinriport Tena mi nili comment kabisaNimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Kwahiyo huyo makala amejibu ambacho kimedukuliwaUhakika wa hiyo barua kuwa yake uko.wapi?
Kuna sehemu imepositiwa kuwa kadukuliwa akaunti yake
Mkuu achana nao hao. Wao wanafikiri ni wajuvi kumbe wajinga tu. Badala ya ku focus kwenye No Reform, No Election wako bize na CCM na michakato ya wagombea wa CCM. Heche, Mnyika, Lema, Boniyai hata Erythrocyte wote wako bize na michakato ya wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu halafu wanakwambia eti Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA! Ahahahahaha!!!Mkuu habari ni hii
View attachment 3405896
Unapaswa uhoji kama TBC ilirepoti au la make ile ndio inaendesha kwa kodi za Umma, sasa Millad ayo kwani anaendesha kwa kodi zenu? tupunguzuze upumbavu ili tukomboe hili Taifa,Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Badala uhoji kama TBC ili weka taarifa au la, unahangaika na wanao endesha media kwa pesa zao?OK! Nimeperuze X sijaona. Basi naomba Mods wafute hii thread