Kuna kitu nimekigundua wanachotumia ma goal keeper bora duniani kuwa bora zaidi

Kuna kitu nimekigundua wanachotumia ma goal keeper bora duniani kuwa bora zaidi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,315
Reaction score
13,269
Wakuu mpo!

Ni matumaini yangu mnatizama kombe la dunia la vilabu kwa umakini licha ya vilabu kutoka afrika kutupwa nje hatua ya makundi

Katika hii michuano nimeona baadhi ya makipa wazuri wanafanana tabia

Kipa wa Juventus, kipa wa real Madrid, kipa wa Al hilal na kipa wa Botafogo Fc anaitwa John

Hawa miamba ukiangalia mambo wanayoyafanya ni makubwa saba wanapiga kazi hatari

Mbinu wanayotumia ni moja ku concentrate yaani wapinzani wakiushika mpira wakasogea karibu na box hawa jamaa wao huungalia mpira kwa kuconcentrate huku akili yote ikiwa kwenye mpira utadhani wanatafuta bolt ya saa mchangani

Ukipiga mpira wao haraka sana wanakua washauona wanapangua


Tizameni mechi za hawa makipa muone maajabu wanayoyafanya

Yasine Bounou, kipa wa Real Madrid mta enjoy


Nawasilisha
 
Kuna Yule wa Al Hilal ya Saudi Arabia. Jamaa apewe maua yake kwa alichowafanyia Manchester City
Yule alidaka penaty ya dogo wa Madrid iliyopatikana dakika za jiooooni dakika ya 96

Jamaa haangalii movements za mchezaji kama makipa wengine wanavyofabya yeye anauangalia mpira

Ukipiga anaunyakua ukiiurudisha anapangua
 
Hao Wana miili mikubwa magiant pia SIO waoga na mafunzo Bora wamekomaa atashuti liwe Kali vipi akitanua mikono ikimgusa unarudia uwanjan kama mpira umegusa chuma
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    28 KB · Views: 36
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    18.1 KB · Views: 34
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    21.3 KB · Views: 29
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    13.5 KB · Views: 34
Back
Top Bottom