Kuna kitu sijakielewa kwa dada zetu hapa Tanzania

Kuna kitu sijakielewa kwa dada zetu hapa Tanzania

welding1682

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2019
Posts
2,151
Reaction score
4,681
Yaani hii kitu nimeshindwa kuielewa kabisa kwa dada zangu na hapa Haina mwajiriwa Wala mdangaji, na naona kwa Sasa ni kwa Rika zote!

Inakuwaje utongozwe na ndani ya siku mbili Kila shida iliyopo duniani umwambie aliyekutongoza, hivi atawaza mapenzi nawe au shida ulizokuwa Nazo na hapo hapo unataka kukojozwa.

Au yananikuta Mimi tu Nini?
 
Kuna muda mwanamke anapokuambia shida Hana maana umsaidie ni vile anataka kuskilizwa tu... A feel kuwa Ana wa kumskiliza. 😎
 
yaani hii kitu nimeshindwa kuielewa kabisa kwa dada zangu na hapa Haina mwajiriwa Wala mdangaji, na naona kwa Sasa ni kwa Rika zote!
Inakuwaje utongozwe na ndani ya siku mbili Kila shida iliyopo duniani umwambie aliyekutongoza, hivi atawaza mapenzi nawe au shida ulizokuwa Nazo na hapo hapo unataka kukojozwa,
Au yananikuta Mimi tu Nini?
Tafuta pesa dogo, hii utaiona kawaida tu mbona
 
yaani hii kitu nimeshindwa kuielewa kabisa kwa dada zangu na hapa Haina mwajiriwa Wala mdangaji, na naona kwa Sasa ni kwa Rika zote!
Inakuwaje utongozwe na ndani ya siku mbili Kila shida iliyopo duniani umwambie aliyekutongoza, hivi atawaza mapenzi nawe au shida ulizokuwa Nazo na hapo hapo unataka kukojozwa,
Au yananikuta Mimi tu Nini?
Ndugu yangu, siku hizi mapenzi yamegeuzwa biashara kwa asilimia kubwa
 
Mwanamke akishaanza kuomba hela naachana naye maana mimi nikimpenda mtu sioni shida kumpa vitu kwa hiari yangu na sio kwa kutangaziwa shida. Mwanamke anayeomba hela hajakupenda.
Haswa, na huwa nikishapita Nampa Cha shida yake then namwambia tumemalizana tafuta mwingine wa kumuuzia
 
Back
Top Bottom