welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Na kwelliKila karne na mambo yake
Hilo Kila mwanaume anapitia sema hupaswi kuendekezaMaumivu yakizidi muone punyeto
Ila naona kama wanajiendekeza na kuwaondolea heshimaMkuu kwenye hilo huwezi kumwelewa mwanamke yoyote dunia hii
Kibaya zaidi wao hawajali kabisaIla naona kama wanajiendekeza na kuwaondolea heshima
Tafuta pesa dogo, hii utaiona kawaida tu mbonayaani hii kitu nimeshindwa kuielewa kabisa kwa dada zangu na hapa Haina mwajiriwa Wala mdangaji, na naona kwa Sasa ni kwa Rika zote!
Inakuwaje utongozwe na ndani ya siku mbili Kila shida iliyopo duniani umwambie aliyekutongoza, hivi atawaza mapenzi nawe au shida ulizokuwa Nazo na hapo hapo unataka kukojozwa,
Au yananikuta Mimi tu Nini?
Hakuna ukawaida hapo ni upumbavu Bora kama mtu anauza anakuwa wazi tu!Tafuta pesa dogo, hii utaiona kawaida tu mbona
Wanaomba kwa kuwa Hela wanaiona ila kuomba kwao ni WA kimchingo zaidiJeshi la "TAFUTA HELA ",bado siliioni ila wanakuja kuushambulia uzi wako.
Ndugu yangu, siku hizi mapenzi yamegeuzwa biashara kwa asilimia kubwayaani hii kitu nimeshindwa kuielewa kabisa kwa dada zangu na hapa Haina mwajiriwa Wala mdangaji, na naona kwa Sasa ni kwa Rika zote!
Inakuwaje utongozwe na ndani ya siku mbili Kila shida iliyopo duniani umwambie aliyekutongoza, hivi atawaza mapenzi nawe au shida ulizokuwa Nazo na hapo hapo unataka kukojozwa,
Au yananikuta Mimi tu Nini?
Tunayo kweli, wengi huwa nawaambia ukweli nikisha pita nawo!Kazi mnayo mazee
Haswa, na huwa nikishapita Nampa Cha shida yake then namwambia tumemalizana tafuta mwingine wa kumuuziaMwanamke akishaanza kuomba hela naachana naye maana mimi nikimpenda mtu sioni shida kumpa vitu kwa hiari yangu na sio kwa kutangaziwa shida. Mwanamke anayeomba hela hajakupenda.