Kaka nakuomba utukome
Yeah,I am laudi supika😂😂😂amekusikia vizuri kweli?
Tunaogopa vizinga 🤣🤣🤣Na nyie tumechoka malalamiko yenu,mbona nyie siku ya kwanza tu mnaomba tamu
Vitya ni vitya muraaaa ..weee uliagi shida???Kazi mnayo mazee
umepewa bure, towa bureNa nyie tumechoka malalamiko yenu,mbona nyie siku ya kwanza tu mnaomba tamu
Punguza kusikiliza wazungu chief, upo bongo sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna muda mwanamke anapokuambia shida Hana maana umsaidie ni vile anataka kuskilizwa tu... A feel kuwa Ana wa kumskiliza. [emoji41]
Sasa tuwaombe nini kama sio utamuNa nyie tumechoka malalamiko yenu,mbona nyie siku ya kwanza tu mnaomba tamu
Achana na tamthilia za wazungu tupo bongeKuna muda mwanamke anapokuambia shida Hana maana umsaidie ni vile anataka kuskilizwa tu... A feel kuwa Ana wa kumskiliza. 😎