Kuna Klabu Tanzania ilijipanga Kuharibu CAFCL ili iangukie CAFCC ibahatishe kama ilivyobahatisha 2022/2023

Kuna Klabu Tanzania ilijipanga Kuharibu CAFCL ili iangukie CAFCC ibahatishe kama ilivyobahatisha 2022/2023

Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.

Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!
Pamoja braza popoma

Kiukwel kaf wameupiga mwingi
 
Yamekuwa hayo tena???

Kwamba unaipenda mno utopolo mpaka ikiambiwa ukwel unatishia kuua???

Nitaongea na braza popoma awapunguzie dozi
 
Kumbe huwa unamchokoza mwenyewe,kwenye ule uzi unamlalamikia nilukuunga mkono,ila kwa namna hii unamchokoza,usidhani atabaki kimya kwa hulka yake so vumilia tu.
 
Huna akili master
 
Attachments

  • 20230707_113724.jpg
    20230707_113724.jpg
    33.7 KB · Views: 2
Wana muonea wivu mwenzao kachukua Tuzo ya jukwaa la michezoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mioyoo inawaumaa mnoo.
Wanavyomchukia ndiyo wanavyozidi kumfanya awe Maarufu na apendwe na Watu hapa JamiiForums.
 
Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.

Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!
Nyie ndio mliwafundisha mlivyo jilegeza kwa Juaneng Galaxy
 
Back
Top Bottom