Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Wapumbavu wamemchokoza Myahudi.naona mada haijadiliwi tena
mbaya sana mwanaume kuwa na gubu na kuweka sura kama beki tatu aliyeunguza mboga akiwa mezani na bosi wake.endelea kuwagonga za utosiWapumbavu wamemchokoza Myahudi.
Pamoja braza popomaAsanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.
Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!
Mno.....!!Pamoja braza popoma
Kiukwel kaf wameupiga mwingi
Hana Akili huyo.Umepanik braza
Hana Akili nae huyo kama Mwenzake.Umepanik braza
We falla umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣Mtu mfupi mweusi tii na ana kichwa kikubwa hupendelea kuvaa viatu vilivyo kwisha upande maeneo ya kisiginoni.
Hawa watu huwa wananongwa na kijiba cha moyo cha mke mwenza.
Wanavyomchukia ndiyo wanavyozidi kumfanya awe Maarufu na apendwe na Watu hapa JamiiForums.Wana muonea wivu mwenzao kachukua Tuzo ya jukwaa la michezoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mioyoo inawaumaa mnoo.
Haswaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanavyomchukia ndiyo wanavyozidi kumfanya awe Maarufu na apendwe na Watu hapa JamiiForums.
Nyie ndio mliwafundisha mlivyo jilegeza kwa Juaneng GalaxyAsanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.
Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!