Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwanzaWapi huko, umeme umekatika?
Hadi MWANZA ?Mwanza
Pole Mazee!Kinondoni usiku huu saa 00:30 umekatika joto na mbu hakulaliki
Kanda ya ziwa yot iko downMwanza
Mmbu wa dar wanauma paka kisigino😂Kinondoni usiku huu saa 00:30 umekatika joto na mbu hakulaliki
Hii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana
Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
Nchi La Hovyo hili Mkuu hata hapa wameshakata aiseeHii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana
Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
Nimeshituka hapa naona giza koteKanda ya ziwa yot iko down
Huu umeme umekatika nchi nzima usiku huu ama vp maana hata kibaha umekata mida hiiKinondoni usiku huu saa 00:30 umekatika joto na mbu hakulaliki
Awali ya yote nipende kumshukuru...Hii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana
Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
Huu umeme umekatika nchi nzima usiku huu ama vp maana hata kibaha umekata mida hii