KERO Kuna kukatika kwa umeme kumeanza kwa kasi nchini

KERO Kuna kukatika kwa umeme kumeanza kwa kasi nchini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Naona Tanesco wametoa Tangazo. Shida ni nchi mzima ...
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-18-01-58-06-111_com.instagram.android-edit.jpg
    Screenshot_2024-12-18-01-58-06-111_com.instagram.android-edit.jpg
    349.7 KB · Views: 4
Nimejifanya kuwahi kulala hawa mbwa wamekata umeme manina zao nimeusubiri naona taarifa kwamba umekatika along grid ya taifa nimeamka nimewasha ndinga nipo liquor store sipendi dharau. Pumbavu sana tanesco
 
Washenzi hawa mbwa kabisa Kila siku gridi ya taifa imagine mchana unaumia na joto la dar usiku unasema upumzike wanaamua kukata umeme na imekuwa kama mazoea siku hizi shenzi kabisa hawa..
Nakazia kabisaaaa, tena umbwa wa kizungu kabisa
 
Hii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana

Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
Tupo kizani yaheee ...tatizo ni mzanzibar mpumbavu
 
Chadema na yule kafiri CAG maandazi mfuga ndevu watapinga
 
Bongo nyoso sana,kukiwa na ukame watasingizia,mvua zikinyesha mabwawa yakijaa bado sababu haziishi aaah
 
Back
Top Bottom