KERO Kuna kukatika kwa umeme kumeanza kwa kasi nchini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana

Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
Hii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana

Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
Nchi La Hovyo hili Mkuu hata hapa wameshakata aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…