KERO Kuna kukatika kwa umeme kumeanza kwa kasi nchini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Inawezekana grid imezingua tena kama siku ile.. maana mikoa karibia mingi mpaka sasa haina umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ