Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 736
- 1,214
Kwenye mazuri tusifie na mabaya husemwa ili kujifunza kwa hili ni Ukweli kabisa kwa hapa Tanzania tuna watu wa maeneo tofauti tofauti na huwa na tabia zao mbalimbali hii hutokana na malezi ya jamii husika nataka niseme wazi juu ya jamii ya watu wa kanda ya ziwa na mazuri yao na maua wanastahili yapo machache kati ya mengi:
Yaani mikoa ya kanda ya ziwa Mwanza,Mara,simiyu,Geita,Kagera,Shinyanga inawatu wa tofauti sana,ingekuwa nchi ingekuwa imepiga hatua sana watu wake wamenyooka sana,hawana kona kona zisizoeleweka na ulegevu kama watu wa pwani uswahili mwingi Kama ni nyeusi ni nyeusi tuu hamna pindisha pindisha
1.Watu wa kanda ya ziwa ni watu wa kazi( si wavivu)
2. Watu wa Kanda ya ziwa ni wazalendo saana.
3.Watu wa kanda ya ziwa ni majasiri sio waoga
3.Watu wa kanda ya ziwa ni wakweli na wawazi yaani wamenyooka vyema ,kama huamini fuatilia viongozi wanaotokea hiyo mikoa,kwa viongozi waliopita na waliopo 90% wako hivyo japo mfumo mibovu iliyopo inawaathiri.